Ally Hapi: Siwezi kulazwa nje tena

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,895
Reaction score
63,464
Haha... "siwezi kulala nje tena". Kiswahili kigumu sana.

"Siwezi kulazwa makaburini wala kwenye vibaraza kwa namna yoyote kwa kuwa Iringa kuna wazee wa nguvu na viongozi wa dini wa nguvu na mimi mwenyewe nipo ngangari kweli kama sikulala nje Kinondoni, Bagamoyo na Kisarawe basi siwezi kulala nje tena" Mhe. @AllyHap RC Iringa.
 
haha kumbe ni kweli,,,basi kama msemaji mkuu wa sirikali natangaza iringa ina wenyewe
kwa hiyo wageni hasahasa CCM muwe waangalifu,,hii ni witchcraft terrorist warning against fisi ccm.
 
Ila ni kweli ulilala makaburini huko Iringa!
 
mbona "TENA"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…