Katibu wa chama hatakiwi mtu mwenye siasa kama wa dizaini hizoKutokana na kutangazwa kustaafu kwa komredi Kinana napendekeza mtu wa kumrithi awe kijana chini ya miaka arobaini ili kuweza kuandaa viongozi watakao kiongoza chama mbeleni.
Binafsi napendekeza Ally Hapi DC wa Kinondoni amrithi mzee Kinana huyu kijana ni mchapakazi na hana makandokando na mcha Mungu.
Pili ameonyesha ukomavu wa kisiasa pamoja na kupewa kuongoza wilaya yenye changamoto nyingi.
Bila shaka wewe ni girl friend wake au mke wake au nyumba ndogo!Kutokana na kutangazwa kustaafu kwa komredi Kinana napendekeza mtu wa kumrithi awe kijana chini ya miaka arobaini ili kuweza kuandaa viongozi watakao kiongoza chama mbeleni.
Binafsi napendekeza Ally Hapi DC wa Kinondoni amrithi mzee Kinana huyu kijana ni mchapakazi na hana makandokando na mcha Mungu.
Pili ameonyesha ukomavu wa kisiasa pamoja na kupewa kuongoza wilaya yenye changamoto nyingi.
Mimi nimehisi Alli Happy mwenyeweBila shaka wewe ni girl friend wake au mke wake au nyumba ndogo!
Hapii DC wa Kinondoni kumrithi Kinana!?You are joking.He lacks the political experience,charisma,Kutokana na kutangazwa kustaafu kwa komredi Kinana napendekeza mtu wa kumrithi awe kijana chini ya miaka arobaini ili kuweza kuandaa viongozi watakao kiongoza chama mbeleni.
Binafsi napendekeza Ally Hapi DC wa Kinondoni amrithi mzee Kinana huyu kijana ni mchapakazi na hana makandokando na mcha Mungu.
Pili ameonyesha ukomavu wa kisiasa pamoja na kupewa kuongoza wilaya yenye changamoto nyingi.
Sio dhambi kuota mchanaKutokana na kutangazwa kustaafu kwa komredi Kinana napendekeza mtu wa kumrithi awe kijana chini ya miaka arobaini ili kuweza kuandaa viongozi watakao kiongoza chama mbeleni.
Binafsi napendekeza Ally Hapi DC wa Kinondoni amrithi mzee Kinana huyu kijana ni mchapakazi na hana makandokando na mcha Mungu.
Pili ameonyesha ukomavu wa kisiasa pamoja na kupewa kuongoza wilaya yenye changamoto nyingi.
Kutokana na kutangazwa kustaafu kwa komredi Kinana napendekeza mtu wa kumrithi awe kijana chini ya miaka arobaini ili kuweza kuandaa viongozi watakao kiongoza chama mbeleni.

Bila shaka wewe ni girl friend wake au mke wake au nyumba ndogo!