sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,325
- 2,488
Diwani wa Kata ya Sombetini Jijini Arusha ndugu Ally Bananga [CHADEMA], amejitokeza hadharani na kumwomba msamaha aliyekuwa mshindani wake katika kiti cha Udiwani kupitia CCM ndugu Bakari kwa kukiri kuwa alimwibia kura katika zoezi la Uchaguzi Mkuu uliofanyika October mwaka jana. Ndugu Bananga amemwomba ndugu Bakari amsamehe sana.
Mashuhuda tuliokuwepo tulibaki tunacheka tu ila hii ni zaidi ya kufuru. Chadema wanalalamika kuibiwa kura ila kama wamefika mahali hadi wanakiri mbele ya wapiga kura kuwa wameiba kura ujue shetani wao kawachoka!

Hakumaanisha kura za barrot paper bali alimaanisha amemuibia wapiga kura wake ambao walimpa kura yeye, hivyo alimwomba samahan kwa nguvu ya umma kubeba had watu kutoka ccm na kupiga kura upinzan