PreGE2025 Ally Bananga: Mikutano ya upinzani huzuiliwa kwasababu hutanguliwa na kauli zinazoashiria uvunjifu wa amani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mwizukulu wa Buganda

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2024
Posts
638
Reaction score
1,771
Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa Wa Dar Es Salaam Ally Bananga akijibu kuhusu kuzuiliwa kwa maandamano ya mara kadhaa hasa ya vyama vya upinzania, ameeleza kuwa mara nyingi wapinzani hawazuiwi kufanya maandamano bali baadhi ya maandamano yao hutanguliwa na kauli ambazo zinaashiria uvunjifu wa amani.

Marioo hilo
 
Diwani wa kata ya Sombetini mkoani Arusha na sasa katibu wa siasa mkoa wa Dar es salaam, ama kweli maisha ni safari ndefu.
 
Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa Wa Dar Es Salaam Ally Bananga akijibu kuhusu kuzuiliwa kwa maandamano ya mara kadhaa hasa ya vyama vya upinzania, ameeleza kuwa mara nyingi wapinzani hawazuiwi kufanya maandamano bali baadhi ya maandamano yao hutanguliwa na kauli ambazo zinaashiria uvunjifu wa amani.

Mwambie Hana akili na NI mpuuzi mmoja huyu
 
Back
Top Bottom