alloy rim

alloy rim

Tip Master

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2011
Posts
510
Reaction score
573
kwa yeyote mwenye kujua wapi zinauzwa rim za aluminium(ALLOY) za magari madogo kwa bei nafuu anijulishe maana kuna sehemu nimeambiwa set sh laki 6,saizi ya tairi ni 185/65r15 88s,nitashukuru
 
Kariakoo, Swahili street inaanzia pale corner ya fire kuingia kulia
 
Back
Top Bottom