Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 359,880
- 828,442
#HABARI wanasayansi wanasema viumbe aina ya Aliens vinakuja kuivamia Dunia mwezi novemba mwaka huu 2025.
Kupitia ripoti iliyotolewa na Cbs news , wanasayansi kutoka Harvard wanasema Kuna viumbe aina ya Aliens vinakuja kwenye huu ulimwengu wa Dunia mwaka huu 2025,
Profesa Avi loeb alisema Kuna dalili za wazi wazi kuwa tunatembelewa na wageni kutoka comet ☄️ kupitia chombo aina ya 3I/ATLAS.
Chombo hicho kinakuja Kwa Kasi ya ajabu ya maili 130,000 kwa saa kuelekea kwenye mfumo wetu wa jua, hivyo ilipelekea kuzua mjadala mkubwa Kati ya wanaanga na wanasayansi.
Kwa mara ya kwanza kiliweza kugundulika tarehe 1 Julai 2025, ni kifaa chenye muonekano kama nyota ambapo kinatoka nje ya mfumo wetu wa jua na kinakuja kwetu. Ukubwa wa chombo hicho kinakadaliwa ni kikubwa kuliko Mji wa Manhattan wa marekani ambapo kinakarabia kuikaribia Dunia Yetu mwisho wa mwezi novemba 2025.
#IsharaUpdates