Van Pauser
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 419
- 425
Hapana hii ni tofauti kabisa na forever living..!! Hii ni Alliance in motion na ina tofauti kubwa sana na makampuni mengine yanayojihusisha na Network marketing.Sio forever living product nyingine
Karibu sana kaka uje upata mkwanjaNawaelewa hao jamaa,tunisha account mzee
Mkuu usiwe mchoyo waunge kwanza familia yako wapaate mkwanja
Sawa mkuu lkn hujalazimishwa ni kitendo tu cha kuelewa..!! Mm familia yangu nlishawaunga ndio maana nikaja huku kwenu.Mkuu usiwe mchoyo waunge kwanza familia yako wapaate mkwanja
Mkitajirika kwenu ndio uje huku