Alliance 4 Democtratic Change ni CHADEMA namba mbili !

Alliance 4 Democtratic Change ni CHADEMA namba mbili !

KakaNanii

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2008
Posts
325
Reaction score
52
Yaani ukiangalia rangi za bendera ya chama cha ADC na CHADEMA utaona vyote rangi zinafanana. Hivi hiki chama cha ADC ni CHADEMA namba mbili !
 
Wanatafuta mbeleko hawa ACD hasa vijijini watapokelewa kwa kudhaniwa ni chama dume CDM.
 
Siasa za bongo bana?? uyu mleta mleta mada nae hajielewi, sasa unaposema CHADEMA no 2 unamaanisha nini?? Acha kufikiri kitoto!
 
Ha ha ha ha ha! Hayo manyota matatu kwenye bendera ya ADC siyaelewi! Ndo yanawakilisha nini hayo? Au walidhani hii ni "religious" republic nini? Kwa hilo tayari wame-fail kabla ya kuanza.
 
attachment.php
 
Ha ha ha ha ha! Sijaona think tank ya maana hapo. Labda huyo m-babu aliyekaa mbele kushoto.
 
Ni ka-chama tu, kakikua katakuwa li-chama. Good luck as long as hakana sera za mabwepande
 
Back
Top Bottom