Allergy ya maziwa

amkawewe

JF-Expert Member
Dec 9, 2011
2,021
527
Jamani msaada, ninapenda sana maziwa ya ng'ombe lakini nikinywa uso unatoka vipele.
Kama kuna mtu anafahamu tiba
 
matibabu ya allergy ni kukwepa vipi hivyo vinavyosababisha . hivyo usinywe hayo maziwa. tumia labda soya milk!!
 
Aleji inatibika mkuu, tena kwa namna rahisi kabisa bila hata senti tano, unatakiwa tu ujuwe aleji ni nini.[/Q
unajua ulicho comment au? don't you c nisawa nilichoandika!! kuacha maziwa hutumii pesa! pu...f.!!
Sasa kuacha maziwa ndiyo kujuwa aleji ni nini?, na kwanini aache maziwa kwa ishara za mwili kuhitaji maji?, na kwanini unatumia lugha isiyo nzuri?

MAJI HUKINGA NA KUPONYA MZIO (Allergy):

Mzio/allergy, Ni kitendo cha mwili kupungukiwa maji wakati histamini inapozarishwa kupita wastani ili kuhimiza unywaji wa maji na ugawanywaji wa kiasi kidogo cha maji kipatikanacho mwilini.

Histamini ni kihisio cha kwanza (primary sensor) cha ubongo kinachozarishwa ili kujishughurisha na ugawanywaji wa maji kwa viungo mhimu wakati kunapokuwa na upungufu wa maji mwilini.

Inajihusisha na kazi ya ugawanywaji wa kiasi kidogo kinachopatikana cha maji (maji ya mgawo) wakati wa upungufu wa maji mwilini (Unintentional chronic dehydration).

Histamini katika lugha rahisi:

Histamini ni kemikali ambayo miili yetu huitoa inapohitaji msaada kusawazisha upungufu wa vitu mhimu sana mwilini kama maji, chumvi au potasiamu. Histamini na wasaidizi wake wengine watano (5 buddies) watasaidia kuusawazisha upya mwili ambao upo nje ya usawa. Kwa hakika Histamini ni kitu kizuri ambacho huokoa maisha yetu kwa mujibu wa dr. Batmanghelidj.

Sababu ya kutokuelewa namna hasa histamini inavyofanya kazi mwilini, dawa zimetengenezwa kuidhibiti. Wakati histamini imezarishwa, yaweza kuendelea kuzarishwa na kuzarishwa kwa sababu tunakula au kunywa kitu kimoja ambacho miili yetu haiwezi kukitumia.

Mfano mzuri ni juisi ya chungwa. Juisi ya chungwa huwa na kiasi kingi cha potasiamu ambayo miili yetu haiwezi kuitumia bila uwepo wa chumvi.

Kwahiyo, inapotokea mtu anakunywa juisi ya chungwa na hatumii kiasi kinachostaili cha chumvi ili kuiwezesha potasiamu kuziingia seli za mwili, basi histamini hutolewa kurekebisha tatizo hilo. Kila mtu anahitaji 3/4 gramu za chumvi kwa kila 250 ml za juisi ya chungwa ili potasiamu iliyomo kwenye chungwa iweze kutumika na seli za mwili.

Katika kitabu ''ABC of Asthma, Allergies and Lupus'', ukurasa wa 149 chini na juu ya ukurasa wa 150, dr B ameandika: "Ni sera nzuri kuongeza kiasi cha chumvi katika juisi ya chungwa ili kusawazisha matendo ya sodiamu na potasiamu katika kuhimili ujazo unaotakiwa wa maji ndani na nje ya seli."

Katika baadhi ya tamaduni, chumvi huongezwa katika matikiti na matunda mengine ili kurekebisha usawa wa potasiamu. Kwa ujumla, matunda haya mengi huwa na potasiamu tu kwa sehemu kubwa. Kwa kuongeza chumvi kabla ya kuyala, usawa kati ya uchukuwaji wa sodiamu na potasiamu hupatikana. Jambo hili lapaswa kufanyika pia kwa matunda mengine.

Anachotaka kukisema hapa Dr. Batman ni kuwa tunahitaji chumvi kwa kila tunachokula kwa sababu ya potasiamu. Potasiamu inapatikana karibu katika kila kitu tunachokula. Ndiyo, CHUMVI yaweza kuwa mbaya kwetu ikiwa hatunywi maji ya kutosha kusawazisha ulaji huo wa chumvi.
.

Moja kati ya matatizo makubwa siku hizi ni kuwa watu hatunywi maji ya kutosha. Badala yake tumehamia kwa kahawa, chai, soda, pombe na kadharika. Mwili wa binadamu unahitaji maji halisi na chumvi.

Uthibitisho wa hili ni matumizi ya madripu ya maji chumvi (SALINE IV's) katika mahospitali na magari ya kukimbizia wagonjwa mahututi (ambulances). Madaktari kamwe hawampi mgonjwa dripu la maji matupu, bali lenye chumvi ndani yake. Lita moja ya dripu la maji huwa na chumvi gramu 9. Ukiwa mahututi katika ambulance hupewi kahawa, Madaktari watakutundikia dripu la maji chumvi na wakati mwingine watakutundikia lita nyingine ya vitamini, madini au dripu la maji sukari (dextrose or glucose).

Mdhibiti mzuri kabisa dhidi ya histamini ni chumvi, kwa mjibu wa Dr. Batman. Ikiwa unakunywa maji mengi na hautumii chumvi ya kutosha kwa ajili ya maji hayo mengi unayokunywa, mwili utaizarisha histamini. Unaweza kulithibitisha hili wakati unapopatwa ghafla na chafya kubwa, au kujisikia kama koo linaziba hivi na msongamano katika pua au koo kwa ujumla. Ikiwa unalazimika kukohoa ili kusafisha koo lako kila mara ni ishara unapungukiwa chumvi.

Hali hii pia hutokea wakati tunakula vyakula au kunywa vinywaji vyenye potasiamu nyingi na bila kutumia chimvi nyingi kwa ajili ya potasiamu ya kwenye juisi. Utapata chafya kubwa na ya ghafla au kujisikia msongamano katika mapafu au koo lako.

Chumvi nyingi kuzidi pia itasababisha kuzarishwa kwa histamini na utapatwa na chafya ya ghafla, msongamano mapafuni au kooni kama ilivyofafanuliwa hapo juu. Macho ya mtu yaweza pia kuonesha wakati histamini imezarishwa mwilini kwa kutoa maji maji (runny eye).

Unapokunywa maji na unapatwa na dalili mojawapo kama hizo hapo juu, basi utatakiwa kuweka kiasi cha chumvi katika ulimi wako na dalili zinapaswa kuwa zinapotea.

Ikiwa unakula chakula na ukapatwa na dalili mojawapo hapo juu, utahitaji chumvi zaidi kwa ajili ya potasiamu. Weka tu kipande cha chumvi mwanzoni mwa ulimi wako na ikiwa dalili hizo (kipiga chafya kubwa, msongamano kooni au mapafuni au kwikwi) zinatulia, utathibitisha kuwa unachokisoma katika kurasa hii ni sahihi. Kujaribu hakuwezi kumuumiza mtu.

Hauhitaji kumeza chumvi, iache tu kama vile unavyomung'unya pipi juu ya ulimi wako kwa dakika moja au mbili na kisha unaweza kuisafisha na maji kwenda chini au iteme na uiweke pembeni.

Histamini ni nini?((medical) a chemical substance that is given out in the body in response to an injury or an allergy – Oxford Advanced Learners Dictionary 8th edition).

Ikiwa umetumia chumvi kuzidi au umeweka chumvi juu ya ulimi na ukapatwa na dalili mojawapo hapo juu, basi utakunywa kikombe kimoja cha maji au viwili na dalili zinapaswa kuwa zinatoweka.

Kila mmoja anahitaji kuzijua ishara zake na kujaribu kupata usawa mahususi wa maji kwa chumvi vivyo hivyo kwa kiasi mahususi cha chumvi kwa chakula anachokula.

Mdhibiti mkuu kabisa tuliye naye dhidi ya histamini ni adrenalini. Adrenalini hutolewa na mojawapo ya tezi mbili za adreno (adrenal grands) zipatikanazo juu ya figo.

Kahawa au kafeina, ndicho kitu kinachoweza kuisisimuwa tezi ya adreno kuitoa adrenalini. Kaffeina pia itasababisha mwili kuitumia hifadhi yake ya nguvu ambayo mwili huihitaji wakati wa kushughurikia matendo ya dharura (emergency). Ikiwa hifadhi ya nguvu ya dharura inatolewa wakati hakuna udharura, mwili utajikopa wenyewe kile unachokihitaji wakati wa dharura na hivyo kujihakikishia uwezo wakati wa dharura nyingine.

Kaffeina itapelekea mwili kujila wenyewe (cannibalize off itself). Kila seli ndani ya mwili inahitaji maji na chumvi ili ziwe seli zenye afya ambazo zitafanya kazi pamoja kumuweka mtu katika afya bora.
Matumizi ya vidhibiti vya histamini vya kibiashara, yataendelea kuuacha tu mwili na upungufu wa maji na chumvi. Hebu fikiri tu kwanini madaktari wanatuambia tuwe mbali na chumvi na sodiamu kwa sababu si vitu vizuri kwetu. Madaktari wanasema tunapata chumvi nyingi kuzidi katika vyakula vyetu siku hizi.

Muombe Daktari au muuguzi wako akuelezee kwanini wanatoa madripu ya maji chumvi kwa wagonjwa wakati wanakuambia unapata chumvi nyingi kuzidi katika chakula chako siku hizi?.

Tatizo letu siku hizi hatunywi tena maji halisi ya kutosha. Tumegeukia vinywaji vya kibiashara.

Wanyama katika bustani za wanyama hunywa maji halisi na wakati mwingine husafiri umbali mrefu zaidi kutafuta tu maji. Mbwa na paka wengi hawapati chumvi ya kutosha siku hizi ndiyo maana ukimsogelea mbwa au paka cha kwanza atataka kukulamba ngozi yako, ni kwa sababu ya chumvi iliyo juu ya ngozi yako. Inashauriwa uongeze kiasi cha chumvi katika maji yao unayowapa kunywa na utaona mabadiliko makubwa kwa wanyama wako.

Kwanini mwili unapatwa na mzio/allergy?:
Histamini ni kemikali wakala wa ubongo mwenye kazi dhidi ya bakteria, virusi na mfumo wakinga ya mwili dhidi ya maadui wa nje, kwa kuongezea inajihusisha pia na kazi ya ugawanywaji wa maji mwilini.

Wakati wa kiasi cha kawaida cha maji mwilini, shughuli hizi (za kumonita bakteria, virusi, kinga ya mwili na usambazaji maji) zinabaki tulivu au hazitengenezwi.

Wakati upungufu wa maji unapobaki kwa muda mrefu, Ubongo unaamuru uzarishwaji mwingi wa histamini kuvutia uchukuaji wa maji.

Mfumo huu wa histamini wenye seli utazarisha kiasi kingi cha transimita nyurolojia (neurotransmitters). Ni kitendo hiki cha uzarishwaji mwingi wa histamini kinachotoa picha maabara ya mzio/Allergy.
Hali ya mzio/allergy inapaswa kutibiwa na ongezeko la kiasi cha unywaji maji. Kwa wastani hali hizi zinapotea baada ya siku tatu hadi wiki nne za urekebishwaji wa ongezeko la unywaji maji.

Uzarishwaji wa histamini utapunguwa wenyewe kwa ongezeko la unywaji maji.

Mwanzo | maajabu ya maji
 
sijui kama unaelimu yoyote juu ya medicine!! sorry !! kama unayo kasome about allergy na pathophysiology yake then comeback with your comments!!!
 
Hi Pole sana
Kwa lugha rahisi, allergy ni pale ambapo mwili unatambua kitu ulichokula au kuvuta au kupaka kama kigeni na chenye madhara, hivyo unaita majeshi yake ili kukitoa kile kitu mwilini. Unapohisi kuwa umepata allergy la kwanza ni kuweza kutambua kitu chenyewe. lapili ni kutumia dawa za kupunguza dalili zake (antihistamins au anti prostaglandins). ukicha kukutana na hicho kitu kwa muda mrefu mwili unaweka ukasahau. Hivyo nakushauri kama una hakika ni maziwa, basi yaache kwa muda kama mwaka mmoja. kama utaamua kuanza basi utumie kiasi kidogo uanagalie reaction.
 
yap!! nilijisajiri hapa kwa kutegemea ningepata watu wa mawazo tofauti na wa kujadili nao but nikakuta ni utani mwingi tu. anyway huwa napenda angalia as nikikuta mtu kaweka topic nzuri naweza ipitia na hata kutoa ushauri kiasi fulani.
Hongera mkuu kwa kusomea medicine. mimi sikusomea medicine na wala sijasoma saaana, ni mtu wa kawaida tu. Ila kuna mwenzako alisomea medicine pia kama wewe anaitwa dr.fereydoon batmanghelidj, unaweza kusoma full history yake hapa: WaterCure | About Dr. B Pamoja na kusomea medicine kama wewe,mwezako aliishia kuandika hivi: ''Mwili wa binadamu unapopungukiwa maji hutoa ishara (indicators), tumeziita ishara hizo kuwa ni magonjwa, hauumwi, una kiu, usiitibu kiu kwa madawa – dr. Batmanghelidj''.

Kimsingi mtoa mada kwa mjibu wa daktari huyu ni kuwa anapatwa na mzio(aleji) ambayo ni ishara ya mwili kumwambia anaishiwa maji, hivyo inampasa abadilishe staili yake ya unywaji maji wa kila siku. Kwanini unafikiri miili yetu hupungukiwa maji kirahisi mpaka kutuletea magonjwa?, Ni kwa sababu tunasubiri kiu ndipo tunywe maji tena mbaya zaidi tunakunywa maji ya kwenye friji!.

Kumbuka bila maji, hakuna maisha ndiyo maana wakasema maji ni uhai. Hebu angalia alivyoandika Willy hapo juu (ambaye umempa LIKE)''lapili ni kutumia dawa za kupunguza dalili zake (antihistamins au anti prostaglandins).'' Umeona hapo palipoandikwa antihistamins? umeona?.Ndicho kitu nilichojadili katika coment yangu, nimefafanua aleji ni nini na nimeeleza role za histamine mwilini ndiyo maana hata katika comment ya Willy unakutana na neno antihistamins.

Kusema ukweli mamilioni ya watu duniani wamepona aleji zao kwa kutumia maji tu, soma testimonials zao katika watercure2.org. Aleji ni ishara ya mwili kupungukiwa maji, basi.

Katika ulimwengu wa sasa wa sayansi pana ya mawasiliano, usitegemee kwa sababu wewe ndo umesomea medicine basi ndo unajua kila kitu kuhusu medicine, naweza kusoma medicine nikiwa chumbani kwangu bila kuhudhuria chuo chochote!. Kwa sisi tunaoamini katika tiba ya maji, kila ugonjwa kwetu (isipokuwa ajali), ni ishara za mwili kupungukiwa maji, tunakunywa tu maji na tunapona! hatuwezi kuacha kula chakula fulani eti tuna-aleji nacho wakati maji ya kunywa yapo.

Chukua glasi ya maji unywe mkuu.
www.maajabuyamaji.net
 
Back
Top Bottom