allergic to sulphur? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

allergic to sulphur?

Discussion in 'JF Doctor' started by Mom, Apr 19, 2010.

 1. Mom

  Mom JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  naombeni msaada wenu, hivi majuzi nimetumia dawa ya malaria aina ya Malafin. ndio dawa niliyozoea kutumia, baada tu ya kumeza ile dawa kama dk3 au 5 hivi nikaanza kuhisi kuwashwa mdomo na ukavimba sana kwa kuwa ilikua usiku niliamua kumuuliza rafiki yangu doctor kwa simu akaniambia huenda una allergy ya sulphur basi kunywa maji mengi sumu itapungua mwilini. nilifuata ushauri ila jana nimeamka nina vidonda mdomoni hata kula shida na mpaka sasa sithubutu kuweka kitu huku mdomoni.

  kwa yeyote aliewahi kukutana na tatizo kama hili naomba ushauri alitumia dawa gani kuponyesha vidonda hivi?
   
Loading...