All White Party!

All White Party!

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
19,226
Reaction score
68,242
Dada zetu wanapojifanya wapo Hollywood...
 
Attachments

  • 1432742573362.jpg
    1432742573362.jpg
    25.7 KB · Views: 1,854
Watu wanajifanya wehu. Ikitokea wameugua wanataka kufa hapo wanamkumbuka Mungu kwa kasi sana, wakiwa wanadunda hata kumkumbuka hawajari kabisaaa.
Kama Mungu angekuwa hana huruma hii dunia ingekua ishamalizwa kwa gharika maana kama ilivyokuwa siku za Nuhu ndio ilivyo hata sasa
 
Well said mkuu
 
Hata wazazi wanao ruhusu watoto wao wavae hayo mavazi, wazazi nao wamechangia kuwaharibu watoto.
Wengi wa hawa walikosa malezi bora ya kujitambua na kutambua thamani yao.
Watu hawa hawajaelewa thamani yao na umuhimu wa Mungu katika maisha yao
 
Back
Top Bottom