Habari!
kuna recipes ambazo naona wanatumia “All Purpose flour” na zingine zinatumia “Heavy cream”
Je, katika ile mifuko midogo ya Unga wa Ngano wa Azania (mfuko wa rangi ya nyeupe na kijani) na ulioandikwa All Purpose flour (nyeupe na blue), which one yields the best results when baking? eg cookies, keki, scones nk.
Heavy cream, je inapatikanaje? nimeresearch naona Heavy cream and Heavy whipping cream zinaweza kuwa the same thing, but whipping cream ni tofauti. (fat content ni ndogo hivo haifai)
kwa yeyote ambae ameshawahi tumia, bado unatumia, au umepata mbadala, naomba unifafanulie please
asante