R robbyl JF-Expert Member Joined May 23, 2013 Posts 461 Reaction score 465 Nov 15, 2021 #1 App inakuwezesha kusoma PDF faili na pia ina nyenzo nyingi za PDF za bila malipo ambazo zinafanya kazi bila kutumia intaneti Unaweza kufanya yafuatayo Kupunguza ukubwa wa faili la PDF (Compress PDF) Kungeza namba za Kurasa (Add page numbers) Kuunganisha PDF tofauti na kuwa faili moja la pdf (Merge /combine pdf files) Kutengeneza PDF kutoka katika picha (PDF from photos) Kupanga kurasa za PDF (Organise pages) na mengine mengi App hii inapatikana Play Store. Ingia na tafuta "All PDf"
App inakuwezesha kusoma PDF faili na pia ina nyenzo nyingi za PDF za bila malipo ambazo zinafanya kazi bila kutumia intaneti Unaweza kufanya yafuatayo Kupunguza ukubwa wa faili la PDF (Compress PDF) Kungeza namba za Kurasa (Add page numbers) Kuunganisha PDF tofauti na kuwa faili moja la pdf (Merge /combine pdf files) Kutengeneza PDF kutoka katika picha (PDF from photos) Kupanga kurasa za PDF (Organise pages) na mengine mengi App hii inapatikana Play Store. Ingia na tafuta "All PDf"
Mr. Purpose JF-Expert Member Joined Nov 12, 2016 Posts 1,474 Reaction score 2,788 Nov 15, 2021 #2 Vyote hivyo vinafanyika bila kutumia internet mkuu ??
R robbyl JF-Expert Member Joined May 23, 2013 Posts 461 Reaction score 465 Nov 15, 2021 Thread starter #3 Mr. Purpose said: Vyote hivyo vinafanyika bila kutumia internet mkuu ?? Click to expand... Ndio Sent from my Nexus 5X using JamiiForums mobile app
Mr. Purpose said: Vyote hivyo vinafanyika bila kutumia internet mkuu ?? Click to expand... Ndio Sent from my Nexus 5X using JamiiForums mobile app
Mr. Purpose JF-Expert Member Joined Nov 12, 2016 Posts 1,474 Reaction score 2,788 Nov 15, 2021 #4 Sawa. Ngoja nikaipakue kushuhudia, maana kuna moja ipo inaitwa I love pdf ndiyo ninayo penda sana kutumia ila kila kitu lazima uwe na internet.
Sawa. Ngoja nikaipakue kushuhudia, maana kuna moja ipo inaitwa I love pdf ndiyo ninayo penda sana kutumia ila kila kitu lazima uwe na internet.
R robbyl JF-Expert Member Joined May 23, 2013 Posts 461 Reaction score 465 Nov 15, 2021 Thread starter #5 Mr. Purpose said: Sawa. Ngoja nikaipakue kushuhudia, maana kuna moja ipo inaitwa I love pdf ndiyo ninayo penda sana kutumia ila kila kitu lazima uwe na internet. Click to expand... sawa asante sana. Hii hautumii internet na nimeitengeneza mwenyewe
Mr. Purpose said: Sawa. Ngoja nikaipakue kushuhudia, maana kuna moja ipo inaitwa I love pdf ndiyo ninayo penda sana kutumia ila kila kitu lazima uwe na internet. Click to expand... sawa asante sana. Hii hautumii internet na nimeitengeneza mwenyewe
Mr. Purpose JF-Expert Member Joined Nov 12, 2016 Posts 1,474 Reaction score 2,788 Nov 15, 2021 #6 robbyl said: sawa asante sana. Hii hautumii internet na nimeitengeneza mwenyewe Click to expand... Hongera sana mkuu. Nitaleta mrejesho.
robbyl said: sawa asante sana. Hii hautumii internet na nimeitengeneza mwenyewe Click to expand... Hongera sana mkuu. Nitaleta mrejesho.
R robbyl JF-Expert Member Joined May 23, 2013 Posts 461 Reaction score 465 Nov 15, 2021 Thread starter #7 Mr. Purpose said: Hongera sana mkuu. Nitaleta mrejesho. Click to expand... Asante
R robbyl JF-Expert Member Joined May 23, 2013 Posts 461 Reaction score 465 Nov 17, 2021 Thread starter #8 Mr. Purpose said: Hongera sana mkuu. Nitaleta mrejesho. Click to expand... Vipi ulijaribu app? Sent from my Nexus 5X using JamiiForums mobile app
Mr. Purpose said: Hongera sana mkuu. Nitaleta mrejesho. Click to expand... Vipi ulijaribu app? Sent from my Nexus 5X using JamiiForums mobile app
R robbyl JF-Expert Member Joined May 23, 2013 Posts 461 Reaction score 465 Nov 22, 2021 Thread starter #9 App imeboreshwa Sent from my Nexus 5X using JamiiForums mobile app
MUTUYAMUNGU JF-Expert Member Joined Jan 25, 2014 Posts 1,824 Reaction score 4,384 Nov 22, 2021 #10 robbyl said: App imeboreshwa Sent from my Nexus 5X using JamiiForums mobile app Click to expand... Hongera mkuu. Wewe unapata faida gani kwa kigawa bure? Ina matangazo?
robbyl said: App imeboreshwa Sent from my Nexus 5X using JamiiForums mobile app Click to expand... Hongera mkuu. Wewe unapata faida gani kwa kigawa bure? Ina matangazo?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 165,751 Reaction score 184,598 Nov 23, 2021 #11 Inapendeza sana...
R robbyl JF-Expert Member Joined May 23, 2013 Posts 461 Reaction score 465 Nov 28, 2021 Thread starter #12 MUTUYAMUNGU said: Hongera mkuu. Wewe unapata faida gani kwa kigawa bure? Ina matangazo? Click to expand... Asante. Ina baadhi ya vitu ambavyo ni vya kulipia na matangazo Sent from my Nexus 5X using JamiiForums mobile app
MUTUYAMUNGU said: Hongera mkuu. Wewe unapata faida gani kwa kigawa bure? Ina matangazo? Click to expand... Asante. Ina baadhi ya vitu ambavyo ni vya kulipia na matangazo Sent from my Nexus 5X using JamiiForums mobile app
R robbyl JF-Expert Member Joined May 23, 2013 Posts 461 Reaction score 465 Nov 28, 2021 Thread starter #13 Smart911 said: Inapendeza sana... Click to expand... Asante Sent from my Nexus 5X using JamiiForums mobile app
Smart911 said: Inapendeza sana... Click to expand... Asante Sent from my Nexus 5X using JamiiForums mobile app
R robbyl JF-Expert Member Joined May 23, 2013 Posts 461 Reaction score 465 Dec 4, 2021 Thread starter #14 App imeboreshwa Sent from my Nexus 5X using JamiiForums mobile app