ALL JF Members: WRITE DOWN HERE YOUR MARITAL STATUS.

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,700
Reaction score
4,126
Wanajf leo tutambuane nani yupo single, married, widow, etc
kama ulipigwa kibuti hapa uwe huru pia kutiririka na hii ina umuhimu mkubwa sana na itawasaidia wote wanaotafuta wapenzi kila siku hapa.

"UKWELI HUMWEKA MTU HURU KABISA."

Naanza mimi:
Bampami-Male-Single

Tiririka na wewe sasa...
 
not yet kown
 
Kongosho kiboko maana umeiua thread ya huyu mtoto wa Chuo kabisa naona kaenda kulala kabisa, hawa watoto wakikosa cha kufanya wanashambuliaga maneneo yoyote.

Chezea kongosho
 
Kongosho kiboko maana umeiua thread ya huyu mtoto wa Chuo kabisa naona kaenda kulala kabisa, hawa watoto wakikosa cha kufanya wanashambuliaga maneneo yoyote.

Kwani hawajapata boom?
Au ndo wako kwenye fresher balls??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…