All European newborn Babies will be Microchipped from May 2014

All European newborn Babies will be Microchipped from May 2014

Natumia dadavuzi mpakato mkuu...

Ngoja nikuambie kitu, katika www huwa kuna mitandao yenye kuweka habari kama kina Shigongo...

Yaani taarifa zake sio reliable kulingana na uzito wa habari yenyewe...

Hii habari yako hata ukiifuatilia na kutazama sources mbadala bado inaonekana ni hoax.

Ni namna ya kuwatishia watu kuhusu mpango wa illuminati na NWO na mark of the beast (hutaweza kuuza au kununua kama huna hiyo mark).

Nakubaliana nawe mkuu. It's just a hoax
 
Hii inawezekana kwa sababu nakumbuka miaka ya nyuma nilikuwa UK tukasikia wanataka kuwawekea chip watoto wote waliozaliwa eti kisingizio watoto wanaibiwa sana hivyo itasaidia polisi kuwakamata.Lakini wazo lilipingwa sana na baadhi ya wakosoaji wa serikali. Na wengine walifika mbali na kusema ni mpango wa serikali ili kufuatilia mtu baadae akiwa mkubwa na kuwa mhaini au mbeba unga, na uhalifu wowote ili afuatiliwe.
Kama wameamua sasa sioni ajabu
 
Back
Top Bottom