Andika aina ya mashine,majina na matumizi kama wewe siyo kanjanja
Zipo machine nyingi, matumizi mengi, mwenye uhitaji akihitaji nitaeleza kwa mapana.
Lakini kwa faida yako ni hivi
Hizi machine nilizoapload hapo kuna
SAUSAGE FILLER. hii inasaga nyama na kusindika kwa wale wanaotaka kutengeneza sausage zao Hasa salami inawafaa sana.
Kuna vacum packaging machine, hii inapack bidhaa zote za vyakula katika vizuri kabisa, matunda, nyama, unga nk, ni technology adimu kidogo kwa Tanzania yetu.
Kuna meat machine hapo 4 in one, hii ina shread, grind, slice na kukata nyama inatumia coper core motor.
Kuna machine ya Chips display yenye deep fryer hapo ya Gas, kwa fast foos, wachoma chips kisasa.
Kuna chicken plucked,machine za kunyonyolea kuku.
Kuna Potatoes peeler, machine za kumenya viazi, zina menya viazi kg 2000 kwa siku,
Kuna vegetables cutter, zina slice na kushread mboga mboga zote, viazi , tango nk,
Kuna deep fryers za gas na umeme, za table top and free standing,
Kuna baking ovens ,kuanzia deck moja hadi nne za gas na oven
Kuna griddle, griller za umeme na gas.
Kuna Bain marie, salamander nk
Kuna grinder,.zinasaga spice kuwa unga, kuna kusaga karanga kuwa siagi nk
Tuna Dough mixer, kukandia unga WA ngano, Chapati, mikate, nk
Tuna dough roller nk
Kuna items nyingi mpaka kitchen gadget.
Karibu mkuu.