Banana, Sweet Fanta dialo, God is one, Peace in Liberia...list ni ndefu nyimbo zake ni kama nimelogewa nazo
List ni ndefu....
Ca me fait si mal na Science Conscience...mbona hujazitaja hizi mkuu mi ndio nazipenda sanaaaa. Flash yangu kwenye gari nimezirudia zaidi ya mara kumi.
List ni ndefu kweli mkuu,tena sio masihara
Una haki ya kuzirudia mara nyingi mkuu,ila zipo zingine ukibahatika kuzickia basi ujue utazirudia saaana
Nothing but prayer ni Senzo mkuu sio Alpha Blondy
Kuna hizo maarufu sana kama Peace in Liberia, God is One, Papa Bakoye nakuwa kama nimezichoka hizi zisizo maarufu sana nazipenda sana.
Karibuni wadau wapenzi na mashabiki wa Reggae
Nadhani baada ya Bob marley na Lucky dube kufariki,mfalme wa reggae aliyebaki ni yeye Alfa blondy tu.