All about ALPHA BLONDY

Masada
Cocody rocky
Jerusalemu

Moja ya nyimbo ninazozikumbuka kwa harakaharaka.
 
namkubali ALFA BLONDY, SENZO, BOB, LUCK, TOSH Na wana reggae wote. unamfahamu Majek Fashek? ni mwanareggae toka Nigeria ana wimbo mmoja unaitwa So long Too long
 
Kwa kweli Alpha Blondy nilimpenda mwenyewe bila kufundishwa na mtu. Mwaka 1990 mzee wangu siku hiyo aliamua kutoka na mimi kwenye bar ya kwanza ya ghorofa mtaani kwetu, basi kidoeni kukawa na tape ya Alpha Blondy mwenyewe sitasahau, nilikuwa nakunywa fanta. Watoto tulioenda na washua wetu tulikuwa tunapewa godoro tunakaa mbele kabisa pengine ili tusione michepuko yao
 
namkubali ALFA BLONDY, SENZO, BOB, LUCK, TOSH Na wana reggae wote. unamfahamu Majek Fashek? ni mwanareggae toka Nigeria ana wimbo mmoja unaitwa So long Too long

Bahati mbaya mkuu,huyo jamaa Mnigeria simjui
 

Kuna watu wanapiga kazi hadi unajikuta unawakubali automatically
 
Masada
Cocody rocky
Jerusalemu

Moja ya nyimbo ninazozikumbuka kwa harakaharaka.

Banana, Sweet Fanta dialo, God is one, Peace in Liberia...list ni ndefu nyimbo zake ni kama nimelogewa nazo
 
Ca me fait si mal na Science Conscience...mbona hujazitaja hizi mkuu mi ndio nazipenda sanaaaa. Flash yangu kwenye gari nimezirudia zaidi ya mara kumi.
 
Ca me fait si mal, Science Conscience...mbona hujazitaja hizi mkuu mi ndio nazipenda sanaaaa. Flash yangu kwenye gari nimezirudia zaidi ya mara kumi.

List ni ndefu....
 
Rendezvouz niliipenda toka nikiwa mtoto
 
Come back Jesus,
Politique,
Masada,
Napenda sana pia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…