"Tutaona, tuko Arusha kwa kazi maalumu kuhakikisha CCM ina shinda hata kama wananchi hawata tuchagua, na tutahakikisha wanaingia gharama kubwa ya kuishabikia CHADEMA."
Haya ni maneno ya kada wa CCM bwana Mtela Mwampamba kuhusiana na mchakato wa uchaguzi jijini Arusha;
"Tutaona, tuko Arusha kwa kazi maalumu kuhakikisha CCM ina shinda hata kama wananchi hawata tuchagua, na tutahakikisha wanaingia gharama kubwa ya kuishabikia CHADEMA."
Nadhani kama wewe ni mtu mwenye akili timamu unaweza kuona ni kwa kiasi gani chama tawala CCM kina husika na mpango, utekelezaji na ufanikishaji wa mlipuko wa bomu jana katika mkutano wa kufunga kampeni wa CHADEMA, Soweto Arusha.
Hali siyo shwari polisi wanalipua mabomu watu wamejeruhiwa
Bomu lililolipuka limejeruhi watu sana. Inaonekana bomu lilitegwa karibu na gari la matangazo.
Mtoto aliyelipukiwa na bomu amefariki uwanjani.
===========================
Updates toka kwa Washiriki
===========================
PICHA ZAIDI TEMBELEA HII POST -> https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-wahofiwa-kupoteza-maisha-25.html#post6590788
Amesema hayo lini?
Teh teh teh!anajipunguza akili!Mbona jibu unalo mkuu, tukio limetokea jana, sasa siku mbili kabla ya jana itakuwa lini?
Haya ni maneno ya kada wa CCM bwana Mtela Mwampamba kuhusiana na mchakato wa uchaguzi jijini Arusha;
"Tutaona, tuko Arusha kwa kazi maalumu kuhakikisha CCM ina shinda hata kama wananchi hawata tuchagua, na tutahakikisha wanaingia gharama kubwa ya kuishabikia CHADEMA."
Nadhani kama wewe ni mtu mwenye akili timamu unaweza kuona ni kwa kiasi gani chama tawala CCM kina husika na mpango, utekelezaji na ufanikishaji wa mlipuko wa bomu jana katika mkutano wa kufunga kampeni wa CHADEMA, Soweto Arusha.
Jee tumesahau wale waliosema nchi haitatawalika, nao walikuwa na maana hii ya mambo yanvyo tokea Arusha au vipi?
je wewe unafikiri nchi inatawalika? Kama ccm na vibaraka wake wanang'oa watu kucha bila ganzi? Je kama kina dr. Ulimboka wanang'olewa kucha na meno na usalama wa taifa? Je kama wapinzani nchi nzima wanapata vipigo huku polis wakishuhudia? Je nchi itatawalika vip wakati rais wa nchi muda wote yuko angani? Badala ya kuwatumikia watanzania kwa usawa bila kujali itikadi zao? Je nchi itatawalika vip wakati polis wanalinda usalama wa upande mmoja tu badala ya watanzania wote? Ilhali polis wanalipwa na watanzania wote? Binafsi sioni nuru kwenye taifa letu kama ccm itaendelea kuwa na viongozi kama mwigulu! Ccm ni janga kwa taifa letu!Jee tumesahau wale waliosema nchi haitatawalika, nao walikuwa na maana hii ya mambo yanvyo tokea Arusha au vipi?
Mbona jibu unalo mkuu, tukio limetokea jana, sasa siku mbili kabla ya jana itakuwa lini?