Mahanjam
JF-Expert Member
- Sep 3, 2009
- 376
- 173
Mkuu, tusipindishe mada, kitu pekee hapa nchini chenye dhamana ya kulinda raia na mali zao ni polisi kwa niaba ya serikali.
Sasa kama kuna mtu alitoa maneno hayo uliyo yaweka na hawakumchukulia hatua yoyote, udhani kwamba serikali ina udhaifu?
Kauli hii aliyo itoa Mtela sio nyepesi hata kidogo ukiliangalia na tukio la jana, nadhani kuna namna ana husika, na wa kuthibitisha hilo ni vyombo vya ulinzi na usalama.
Tuache double standards. Kila upande umewahi kutoa kauli zenye utata mkubwa na mwisho wa siku sisi wananchi wa kawaida ndo wakuumia. Hivi saa ya matukio kama haya waheshimiwa huwa wanasevu vp? Just curious.