Aliyoyasema Mchungaji Lyimo mbele ya Rais

Demokrasia ya magufuli,MREMA,DOVUTWA,RUNGWE,NK hawaruhusiwi kufanya siasa kisa hawana wabunge,madiwani,

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamkumbukwa dk CHE MPONDA na chama chake cha TPP,?chama cha TPP cha CHE MPONDA kilifutiwa usajili kwa kosa la kutofanya siasa,leo kufanya siasa ni kosa,yaani mwenyekiti wa CHADEMA TAIFA,au NCCR TAIFA,auCUF TAIFA, haruhusiwi kufanya siasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale ndio viongozi wa dini ?
Mwingira Kazaa na mke wa mtu.
Malasusa anamfanya asusa mke wa mtu
Sheikh wa jimbo la Dar yake mnayajua
Mzee wa upako ni mlevi kupindukia tena konyagi.
Hawa ndio wanaelekeza watanzania njia ya Mbinguni
 
Hahaha jiwe bana.ameanza kuwa spy[emoji23]
Ila namkubali hapo tuu, hua hakubali kuonekana na makosa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wale ndiyo viongozi wa dini basi nitaenda mbinguni kwa juhudi zangu binafsi.
Tatizo mnataka wachungaji watembee kwenye mitazamo yenu, sasa hiyo sio imani.

2 Timotheo:4.2
lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
2 Timotheo:4.3
Maana utakuja wakati watakapoyakataa mafundisho yenye uzima; ila kwa kuzifuata nia zao wenyewe watajipatia waalimu makundi makundi, kwa kuwa wana masikio ya utafiti;
2 Timotheo:4.4
nao watajiepusha wasisikie yaliyo kweli, na kuzigeukia hadithi za uongo.


Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Nimeshangaa Father Kitima kujishushia heshima,nilitegemea ataongea ukweli kaenda kusifia....AU SABABU JOHN MKATOLIKI MWENZETU?
Ukweli ni upi kwa mtazamo wako?

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…