Aliyosema sokoine.

Aliyosema sokoine.

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
"Katika nchi inayojali haki na usawa, majeshi hayana budi yawe ni chombo cha kulinda haki na maslahi ya walio wengi. Na kamwe hayaruhusiwi kuwa ni chombo cha wachache wenye kujali nafsi zao na kusahau maslahi ya walio wengi" - Edward Moringe Sokoine, 1Februari 1977
1.JPG
 
Huyu Kamanda angekuwa hai, leo hii Tanzania ingekuwa kama Ulaya na watanzania wasiyokuwa na kazi kila mmoja angekuwa anapewa hela za kumwezesha kuishi kila mwezi. Tuna Sokoine mwingine ambaye mwaka 2015 tutampeleka ikulu ili akasaidie watanzania, na si mwingine ni Dr. Slaa.
 
Back
Top Bottom