Aliyosema Kakobe yanatimia

Aliyosema Kakobe yanatimia

ericmarimbo

Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
91
Reaction score
37
Inaudhi tena inaleta kechefuchefu, Bunge lilitumia muda mrefu sana kutunga kanuni hadi baadhi yetu tukawa tunalalamika. Inashangaza leo kabla ya hizo kanuni kabla hazijaanza kutumika kamati ya uongozi inataka kufanya marekebisho jambo ambalo halikukubalika na Wabunge wa upinzani na wengine wenye uchungu na hii nchi.

CCM tubuni aliyosema kakobe naanza kuamini kwamba hata waganga na mapepo yenu hayatasaidia.
 
Mbona alisema Chedema itakamata dola kwenye uchaguzi wa 2010 na haikuwa?
 
Inakuwaje kanuni zilizopitishwa majuzi leo zibadirishwe baada ya Rais kuleta Rasimu yake? Wapinzani komaeni tu na sisi tuko bega kwa bega na ninyi.
 
Sita ni kibaka tu wa kanuni mimi nalichukia et li mtu la starndard likajigamba huwa linasali huyo mungu sita anayemwamini atamuadhibu Kabila hâta bunge hili halijaisha subirini muone na ilaaniwe île siku hili jitu lilipozaliwa
 
Ninyi mnaotetea upuuzi wa ccm hamna akili nzuri.
 
Sita ni kibaka tu wa
kanuni mimi nalichukia et li mtu la starndard likajigamba huwa linasali
huyo mungu sita anayemwamini atamuadhibu Kabila hâta bunge hili
halijaisha subirini muone na ilaaniwe île siku hili jitu
lilipozaliwa
Ndiyo hapo ninapomkubali Lowassa.
 
Mbona alisema Chedema itakamata dola kwenye uchaguzi wa 2010 na haikuwa?
Mara nyingi uongo ukizungumzwa mara nyingi huonekana kama ni kitu cha kweli, unakumbuka hili alilisema lini na wapi? Tukumbushe wote tujue!
 
Mara nyingi uongo ukizungumzwa mara nyingi huonekana kama ni kitu cha kweli, unakumbuka hili alilisema lini na wapi? Tukumbushe wote tujue!
Maswali ya kitoto hayo hapa siyo mahakama. Mbona umeme umepita juu ya kanisa lake na alisema hautapita? Unashangaa kuwa alisema chadema itakamata dola na haikuwa? hiyo nimekupa 'relevant facts'
 
Maswali ya kitoto hayo hapa siyo mahakama. Mbona umeme umepita juu ya kanisa lake na alisema hautapita? Unashangaa kuwa alisema chadema itakamata dola na haikuwa? hiyo nimekupa 'relevant facts'

Samahani nikuulize swali la kizushi....

Kwani mwaka 2010 wewe ulipiga kura.

Unaweza kukubaliana na sisi kuwa kiuhalali CHADEMA ilishinda uchaguzi wa Urais, lakini CCM na NEC yao wakafanya njama na kumtangaza JK kuwa mshindi na ikiwa hata watoto wachanga wanajua kuwa DK Slaa alishinda uchaguzi ule.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Back
Top Bottom