Kim Il Kwon
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 1,219
- 1,037
Ni vyema kuheshimu imani za watu. Mimi ni mkristo lakini kwa hili huyu bwana alivuka mpaka! Apumzike anapostahili.
Jaribu kusukumia ngurue ukutane na hasira za Mungu pamoja na waumini wake, nauhakika hutapata muda wa kuleta mrejesho JrMimi nina mpango wa kusukumia Nguruwe mzima Ijumaa moja
Ha ha ha thubutu uoneMimi nina mpango wa kusukumia Nguruwe mzima Ijumaa moja
Wakifikiria hivyo wanataka kuturudisha tulikotoka. Maana watu watajaribu hafu wasipokufa, iwe shida kwa jamiii. Refer isue ya wale watoto wa mbagalaKwahiyo mnataka kuhusisha kifo chake na kuweka kitimoto mwenye mlango Wa msikiti?
Amekufa kwa matatizo yake, siyo la kuweka nyama hapo. Kama ni kazi ya mungu, kwa nini ichelewe? Kutoka july hadi dec 30?Ni vyema kuheshimu imani za watu. Mimi ni mkristo lakini kwa hili huyu bwana alivuka mpaka! Apumzike anapostahili.
Jaribisha uoneMimi nina mpango wa kusukumia Nguruwe mzima Ijumaa moja
Kweli kabisa, maana alihatarisha maisha yake kabisaHuenda kifo chako kilikuwa kimefika kwa bahati kikaambatana na tukio alilofanya sasa hapo watataka kulhusisha kifo na hilo tukio, but hakufanya kitendo cha kiungwana kuweka nyama ya kiti moto msikitin huku akifahamu fika anawakwaza waislam.JAMBO HILO HALIKUBALIKI KABISA
Siyo kweliKwahiyo mnataka kuhusisha kifo chake na kuweka kitimoto mwenye mlango Wa msikiti?