Ngumu kumeza
JF-Expert Member
- Jun 19, 2012
- 577
- 354
We jamaa unajipenda kweli lazima wakugawane wakikutia mkononi, afu usiombe wakapiga lile yowe lao la kuhamasishana.Munajipendpost: 19096604 said:Mimi nina mpango wa kusukumia Nguruwe mzima Ijumaa moja
jaribu, mk,u,nd,u wwMimi nina mpango wa kusukumia Nguruwe mzima Ijumaa moja
Aiseeee........[emoji134] [emoji134]Mimi nina mpango wa kusukumia Nguruwe mzima Ijumaa moja
Mkuu.....Nyama Tamu kuliko zote bado hujaijua mkuu...!!
Ipi hio mkuu.Nyama Tamu kuliko zote bado hujaijua mkuu...!!
Umewahi kula nyama zote za hapa duniani mpaka ukafikia huo utafiti wako?kwamba alienda kuwaringishia waislamu nyama tamu kuliko zote duniani..😀😀
Watu wenye mawazo ya hivyo hua hamna uwezo hata wa kununua Kuku tu.Mimi nina mpango wa kusukumia Nguruwe mzima Ijumaa moja
Hakuna sehemu yeyote ambayo mleta mada amesema huyo jamaa amekufa kwasababu ya kuweka hiyo nyama ya nguruwe Msikitini,sema amekufa co amekufa 7bu ya kuwek nyama ya nguruwe msikit
Waambie ndugu zako waandae jeneza kabisaMimi nina mpango wa kusukumia Nguruwe mzima Ijumaa moja
Aliyepeleka hiyo nyama ndo mchawi!!wachawi hao
Mku yap ni mwana isanga ya mbeya..Mkuu ww ni member kwel wa isanga family
Naomba uniambie wapi unafanya hivyo....Mimi nina mpango wa kusukumia Nguruwe mzima Ijumaa moja
Zombi na nyumbu number moja hilo.....😀Tatizo hajampokea Yesu, Yesu ni kiboko ya ujinga wote,
mimi mwenyewe wamenirushia majini weee tangu 2009 mpaka leo wamehoka ,kijana mpe Yesu maisha yako akulinde na uchawi ,majini ,ahalilbadl na kisha akubariki na mwisho kabisa uende mbinguni