GE2025 Aliyewahi kuwa Mkuu wa wilaya Meatu na Maswa achukua fomu ya Ubunge jimbo la Meatu kupitia Act Wazalendo

GE2025 Aliyewahi kuwa Mkuu wa wilaya Meatu na Maswa achukua fomu ya Ubunge jimbo la Meatu kupitia Act Wazalendo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mwanantogakulya

Senior Member
Joined
Mar 18, 2025
Posts
130
Reaction score
118
Rosemary Kirigini ambaye aliwahi kuwa Mkuu wa wilaya za Meatu na Maswa mkoani Simiyu amechukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Meatu kupitia chama cha Act Wazalendo.

Pia aliwahi kuwa Mbunge wa viti maalum CCM mkoa wa Mara.Kabla ya kuibukia Act Wazalendo alikuwa Mwenyekiti wa BAWACHA Kanda ya Serengeti.

20250818_152333.jpg
 
Back
Top Bottom