Amaizing Mimi
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 527
- 1,161
Survey na tasks.sasa hivi nina dola 15Ulikuw unafany nn mpk kufikia hizo dollar kumi maan me sifikish
Ni kweli master card ili_expire lakini wiki iliyopita nilihuisha master card.Nadhani shida ipo kwenye hiyo account yako yako ya paypal, bado kuna vitu hujakamilisha ndiyo maana hela haihami.
Mbn survey zina goma kwanguSurvey na tasks.sasa hivi nina dola 15
Sio zote zinakubali ndugu.ni kubahatisha.kama nikifanikiwa kutoa salio langu nataka nifunge akaunti halafu nijiunge upya lakini nachagua nchi nyingine tofauti na Tanzania.Mbn survey zina goma kwangu
Nani alikwambia PayPal inapokea malipo TANZANIA ? ,PayPal unaweza kutumia kwa kufanyia malipo tu hapa Tanzania na si vinginevyo ,huwezi pokea pesa Kwa PayPal TANZANIA ,na ni kilio cha muda mrefu Kwa hustlers WA kazi za mtandaoni na trading .Bila shaka ni wazima wa afya.Katika pitapita zangu mtandaoni nikakutana na hii ishu ya kufanya research online pia kufanya kazi ndogondogo kwenye website ya timebucks.Nilijiunga na kuanza kufanya vikazi vyao.
Ikumbukwe ili uweze kulipwa ni lazima ufikishe 10 USD.Nilifikisha hizo dola kumi na ili ulipwe kuna njia tofauti za malipo.Mimi nilichagua paypal,nikafanya kila kitu ili niweze kulipwa.
Nilipokamilisha taratibu zote timebucks walinitumia email kuwa sasa ninaweza kulipwa baada ys kukamilisha taratibu.Lakini toka nikamilishe ni zaidi ya mwezi sijalipwa kila nikiingia kwenye akaunti yangu nakuta salio bado lipo badala ya wao kulituma kwenye akaunti yangu ya paypal.
Kama kuna mtu amewahi kulipwa naomba msaada.
Bora atoe mapemaAsa mkuu $15 ndio unataka utoe??
AU hauwaamini??🤣🤣
NjaaAsa mkuu $15 ndio unataka utoe??
AU hauwaamini??🤣🤣
Nani alikwambia PayPal inapokea malipo TANZANIA ? ,PayPal unaweza kutumia kwa kufanyia malipo tu hapa Tanzania na si vinginevyo ,huwezi pokea pesa Kwa PayPal TANZANIA ,na ni kilio cha muda mrefu Kwa hustlers WA kazi za mtandaoni na trading .
Labda utafute line ya safaricom ya Kenya
Au utafute mtu ambaye ana bank account details za Kenya