Aliyevujisha barua ya walimu kutakiwa kuvunja makundi yao ya whatsapp asakwa

Huyo DED naye hana kazi nyingine za kufanya au? Sasa kama hilo agizo amekiri mwenyewe kulitoa, nongwa iko wapi? Si alitoa agizo hilo kwa nia njema? Au hiyo barua ilikua ni ya siri kiasi kwamba ingehatarisha usalama wa nchi kwa kusambazwa kwake kwenye hiyo mitandao ya kijamii!
mm naona hyo barua ilkua ina lengo baya la kutaka kuwapeleleza walim il wawakamate wakileta ubish

lakn pia kama ikua taarfa ambayo ifke kwa walim hapakua na tatzo la kusema iwe cr maan walim lazma wangeambia kufuta ma group yao
au walitaka wawfanyie kwa cr bila ya wenyew kujua !!!
kwa kifupi tu Apo DED amekwama na kutaka kutafta kik kwa kua tupo ktka nch ya kiki
 
Aliyevujisha hiyo barua ni yeye aliyeitoa hivyo anapaswa kukamatwa, yaani naandaa pendekezo nilitume kwa Mh Rais na Mh Ndalichako ili tubadili mfumo wa Elimu yetu, elimu yetu imepitwa na wakati mh DED hajui nani katoa barua nje wakati amegawa nakala kwa wakuu wa Idara? Hiyo barua aliitoa kwa wakuu wa Idara ili Waisomee vyumbani na wake/waume zao tu? Kama alijua ni siri alitoa ya nini? Na kwanini inasomeka kuwa zuio ni kwa walimu na karibia watumishi wote wa idara ya Elimu?.…… DED anajihisi aibu kwa kutoa barua ya fedhea kama hiyo ndo maana kaamua kuja kivingine...hakujua Watanzania/watumishi haswa walimu walishachoshwa na hizo sarakasi......elimu yetu haituwezeshi hata kufikiria vitu vidoooogo
 
Back
Top Bottom