Muulize samia, ndiye alitoa kauli hii kwa KibaoKivipi mkuu?
Mbona Tundu Lissu yupo gerezani kwa maneno ya kisiasa mkuu?Hamna kitu huyu alishajichokea kaka, hayo maneno ni ya kisiasa na ni coincindence tu hata asingesema hiki chuma chakavu kingekata moto tu siku ilifika, wanaambiwa wapumzike wakati bado wana nguvu wanajifanya wao ni special sana kwamba hamna anayeweza kuendesha nchi wasipokuwepo. So akaendeshe firdaus pia akamkute jiwe ni kiranja kule alisema mwenyewe
Muulize samia, ndiye alitoa kauli hii kwa Kibao
Akina Lukuvi ni waasisi wa kido ni kifoKwa hiyo hata mtu akiuliwa kifo ni kifo tu mkuu?
hahahaha ! Acha kuleta taharuki zisizo na maana au wamekutuma?Kumuondoa maana yake nini mkuu? Hukusoma somo la NAHAU huko shuleni?
Neno "kumuondoa" ni nahau na tayari wahalifu wametimiza azma yao ovu ya kumuua Lukuvi. Lazima wakamatwe na kufunguliwa mashtaka ya kuua kwa kukusudia. Adhabu kwa muuaji ni kunyongwa hadi kufa; no shorcut.
Hayo maneno ni mimi nimemuwekea mdomoni mkuu? Mbona Tundu Lissu alisema maneno kama hayo na sasa yupo gerezani kwa uhaini? Je, matamshi aliyotamka huyu jamaa yanatofautianaje na uhaini?
Mnaanza kusingizia watu wengine kwa sababu viongozi wa serikali ya Tanzania huwa hawafi.......Acheni ujinga wenu, acheni upumbavu wenu. Huyo ameumwa moyo mambo yakaharibika.....Angekuwa amepigwa rungu akafa, au amepewa sumu na ikadhihirika ni kweli, hapo tungesema watafutwe watu na wakamatwe. Bado mpo kwenye ujima.Neno "kumuondoa" ni nahau na tayari wahalifu wametimiza azma yao ovu ya kumuua Lukuvi. Lazima wakamatwe na kufunguliwa mashtaka ya kuua kwa kukusudia. Adhabu kwa muuaji ni kunyongwa hadi kufa; no shorcut.
Dokta wa vichamboMimi hayo ya kustaafishana hayanihusu nachotaka kujua nimesikia hapo akitamkwa mtu kama daktari sa100,ni dokta wa nini huyo sa100 tuelimishane kidogo.
hii kauli ifute mara moja..unajua umauti ulimpomkutia? Hebu angalia na age!Yes. Hata yeye atakufa lakini ukumbuke Lukuvi kauawa mkuu.
Hili swali muulize chawa mwandamizi Tlaatlaah na kama hana jibu basi muulize chawa mfawidhi ChoiceVariableMimi hayo ya kustaafishana hayanihusu nachotaka kujua nimesikia hapo akitamkwa mtu kama daktari sa100,ni dokta wa nini huyo sa100 ?
Ingawa maneno hu uumba, lakini mtu unakuwa mbunge na waziri kwa muda was miaka 30 huwezi ukakosa changamoto ya magonjwa yasiyoambukizwa kweli? Si rahisi kutowapta wabunge waliohudumu zaidi ya miaka ishirini bila kuwa na changamoto ya kiafya kama kisukari,moyo,nk;kwa sababu lifestyle zinazotokana na kazi hizoHabari wanabodi
Hebu msikilize huyu mtu anavyotamka hadharani kumdhuru waziri William Lukuvi. Inabidi akamatwe na kuhojiwa vizuri kwanini aliamua kumuondoa mzee wa watu kwa nguvu bila kufuata utaratibu.
Sitaki kukuchosha sana. Hebu msikilize wewe mwenyewe mkuu.
View attachment 3562907
MAONI YANGU
Awali ya yote napenda kutangaza maslahi kwamba mimi ni mkazi wa jimbo la Isimani na mpigakura wa marehemu Lukuvi.
Huyu kibonge ambaye ana mwili mkubwa kama tembo lakini akili ndogo kama mbegu ya haradali, lazima akamatwe na kufunguliwa mashtaka kwa kusababisha mauaji ya mbunge wetu pendwa.
Asipokamatwa, nitawahamasisha wanaIsimani tuandamane hadi ikulu kudai uchunguzi huru wa kifo cha mbunge wetu. Hatutakubali mbunge wetu afe kikondoo wakati waliotangaza kumstaafisha (kumuua) wapo mtaani wanaendelea kula ugali bila kuguswa.
Ongezea na kansa ya kibovu na utumbo mpana.Ingawa maneno hu uumba, lakini mtu unakuwa mbunge na waziri kwa muda was miaka 30 huwezi ukakosa changamoto ya magonjwa yasiyoambukizwa kweli? Si rahisi kutowapta wabunge waliohudumu zaidi ya miaka ishirini bila kuwa na changamoto ya kiafya kama kisukari,moyo,nk;kwa sababu lifestyle zinazotokana na kazi hizo
Mkuu, Lukuvi amefariki akiwa na miaka 70 tu na kuna watu akina Mkuchika na Makamba wana zaidi ya miaka 80 lakini bado wanadunda. Huyu jamaa "aliyemstaafisha" Lukuvi lazima ashughulikiwe ipasavyo.Ingawa maneno hu uumba, lakini mtu unakuwa mbunge na waziri kwa muda was miaka 30 huwezi ukakosa changamoto ya magonjwa yasiyoambukizwa kweli? Si rahisi kutowapta wabunge waliohudumu zaidi ya miaka ishirini bila kuwa na changamoto ya kiafya kama kisukari,moyo,nk;kwa sababu lifestyle zinazotokana na kazi hizo
Kwani kwa tundulissu wanahangaika na nini?Kwani aliposema ''Tutamstaafisha kwa nguvu'' alimaanisha nguvu zipi?
Kwanini wewe umetafsiri kauli hiyo ni ya kutishia kuua?
Kisheria hapo hakuna ushahidi wa moja kwa moja kuhusu tishio la mauaji,
Huyo jamaa hata akihojiwa atatoa tafsiri yake tofauti na ulivyo tafsiri wewe.