Aliyetishia kumuua Lukuvi akamatwe na kuhojiwa

Aliyetishia kumuua Lukuvi akamatwe na kuhojiwa

tpaul

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2008
Posts
25,832
Reaction score
25,138
Habari wanabodi

Hebu msikilize huyu mtu anavyotamka hadharani kumdhuru waziri William Lukuvi. Inabidi akamatwe na kuhojiwa vizuri kwanini aliamua kumuondoa mzee wa watu kwa nguvu bila kufuata utaratibu.

Sitaki kukuchosha sana. Hebu msikilize wewe mwenyewe mkuu.



MAONI YANGU
Awali ya yote napenda kutangaza maslahi kwamba mimi ni mkazi wa jimbo la Isimani na mpigakura wa marehemu Lukuvi.

Huyu kibonge ambaye ana mwili mkubwa kama tembo lakini akili ndogo kama mbegu ya haradali, lazima akamatwe na kufunguliwa mashtaka kwa kusababisha mauaji ya mbunge wetu pendwa.

Asipokamatwa, nitawahamasisha wanaIsimani tuandamane hadi ikulu kudai uchunguzi huru wa kifo cha mbunge wetu. Hatutakubali mbunge wetu afe kikondoo wakati waliotangaza kumstaafisha (kumuua) wapo mtaani wanaendelea kula ugali bila kuguswa.
 
Habari wanabodi.
Hebu msikilize huyu mtu anavyotamka hadharani kumdhuru waziri William Lukuvi. Inabidi akamatwe na kuhojiwa vizuri kwanini aliamua kumuondoa mzee wa watu kwa nguvu bila kufuata utaratibu. Sitaki kukuchosha sana. Hebu msikilize wewe mwenyewe mkuu.

View attachment 3562856

MAONI YANGU
Awali ya ya yote napenda kutangaza maslahi kwamba mimi ni mkazi wa jimbo la Isimani na mpigakura wa marehemu Lukuvi. Huyu kibonge ambaye ana mwili mkubwa kama tembo lakini akili ndogo kama mbegu ya haradali, lazima akamatwe na kufunguliwa mashtaka kwa kusababisha mauaji ya mbunge wetu pendwa. Asipokamatwa, nitawahamasisha wanaIsimani tuandamane hadi ikulu kudai uchunguzi huru wa kifo cha mbunge wetu. Hatutakubali mbunge wetu afe kikondoo wakati waliotangaza kumstaafisha (kumuua) wapo mtaani wanaendelea kula ugali bila kuguswa.
hakuna haja ya kupotosha na kuchochea mambo ambayo hayana athari zozote kisiasa gentleman.

mh.William Lukuvi amelaa, nadhani ni ungwana na heshima kumuombea tu apumzike kwa amani kuliko maombolezo ya kichochezi.
 
Vitu havitokei kwa bahati mbaya..uzuri shobo ni za kwao..wapambane na shobo zao.
Shobo zao zitawamaliza to the maximum..maskini wanaendelea kuomba usiku na mchana.
 
hakuna haja ya kupotosha na kuchochea mambo ambayo hayana athari zozote kisiasa gentleman.

mh.William Lukuvi amelaa, nadhani ni ungwana na heshima kumuombea tu apumzike kwa amani kuliko maombolezo ya kichochezi.
Mkuu kwanini wewe hutaki wahalifu washughulikiwe? Ikiwa askari wa Samia waliua raia siku ya MO29 na imeundwa tume kuwachunguza inakuwaje hawa wapuuzi waliotangaza kumuua Lukuvi wasishughulikiwe? Kuwa makini na kauli zako mkuu.
 
Mmeshaanza vikumbo vya kugombania jimbo na kupigana shoti hata kabla ya marehemu kuzikwa.

Mnapenda madaraka kuliko utu.
Lazima wahalifu waadhibiwe sawa na matendo yao mkuu. Mtu hawezi kutishia kumuua mbunge wetu na kweli akamuua halafu tukamuacha salama.
 
Kwani aliposema ''Tutamstaafisha kwa nguvu'' alimaanisha nguvu zipi?

Kwanini wewe umetafsiri kauli hiyo ni ya kutishia kuua?
Kisheria hapo hakuna ushahidi wa moja kwa moja kuhusu tishio la mauaji,
Huyo jamaa hata akihojiwa atatoa tafsiri yake tofauti na ulivyo tafsiri wewe.
Kwa kuwa alisema atamstaafisha kwa "nguvu" na ametumia nguvu hizo kumuua, anayo kesi ya kujibu mkuu.
 
Acheni kusumbua watu wandugu heart attack inamtokea mtu yoyote na muda wowote sembuse hiki chuma chakavu?

Mlitaka aishi hadi lini na nani afe badala yake? Kifo ni kifo tu (in mamaduroz voice)
 
Acheni kusumbua watu wandugu heart attack inamtokea mtu yoyote na muda wowote sembuse hiki chuma chakavu?

Mlitaka aishi hadi lini na nani afe badala yake? Kifo ni kifo tu (in mamaduroz voice)
Mkuu ina maana hujasikia huyo kibonge alichosema kwenye clip au unajitoa ufahamu kwa makusudi?
 
Back
Top Bottom