McMahoon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 1,360
- 1,645
Habari!
Km ww ni fundi computer, simu au vyote kwa pamoja tuwasiliane au unataka ujifunze masuala ya computer, simu au vyote kwa pamoja tuwasiliane tuunganishe nguvu tukodi fremu kwa ajili ya kufanyia kazi. (Kwa watu wanaotaka kujifunza, hakuna gharama zitakazotozwa baada ya kupata ofisi)
Niko Dar es salaam
Km upo interested ni pm
Asanteni