Aliyetayari kuolewa

Aliyetayari kuolewa

Inspector Lady Uko Wapi Afande Mwenzangu Nataka Kujua Maelekezo Wapi Leo?
 
Last edited by a moderator:
Hapana, usifikirie tofauti na uhalisia.Aliyetayari kwa kuolewa atakuwa amenielewa.Sorry kama nimekukwaza

Kumbe wa jana tu?

Hizi zitakuwa za sikukuu tu, zimejaa kiunoni.

Pole mkuu.
 
Nilikuwa mfatiliaji tu wa thread kwa miaka mitatu ila nilipokuwa na uhitaji wa mke ndo nikaamua nijiunge rasmi, kwani naamini jf kunaweza kukanipa mke bora, kwani kupitia humu watu wanajifunza mambo mengi kuhusu maisha.Hiyo ndo imani yangu kwa jf
 
Okay mkuu wangu, kila la heri.
 
Wanawake Waliosoma Sana Hawajui Upendo Wala Maisha Ya Ndoa Yakoje Muda Wote Wanajiona Wako Sawa Ndani Ya Nyumba Hivyo Kunakuwa Heshimaless
sio kweli Jipu au niseme sio wanawake wote,nafanya nzuri Alhamdulillah namsaidia mumewangu bila kujali yeye anayo au laa na wallah sisemi kwanini mie ndio nitoe pesa za matumizi ya nyumba au nitoe school fees ya watoto,ni mumewangu nirafiki yangu na ni baba wa watoto wangu haniulizi unapata kiasi gani mshahara wala hanipi orders, nna wafanya kazi wa3 lakini chakula cha mumewangu napika mwenyewe chumbani kwangu nguo za mume wangu za ndani napiga mwenye pasi, chakula cha kazini napika mwenyewe nikipata time nakwenda kazini kwake tunarudi pamoja nyumbani, usiamini kua eti mwanamke akiwa kasoma anakua jeuri hao ni wale wasiokua na malezi na ulimbukeni.........
 
Dah umenifanya nitamani wewe ndio ungekuwa mke wangu, mana dunia ya leo kumpata wa aina yako ni bahati sana, ila nina imani ipo ckuntampata mwenye vigezo nilivyoona vitakuwa afadhali kwangu
 
ooh mkarimu, cjui mpole mara mcheshi, we mwenyewe una sifa hizo? awe na biashara au mfanyakazi eti ahahaha mi naweza hayo mengine yooote ila suala la biashara nlonayo haikuhusu ntaiacha kwetu kwako ntakuja na nguo nlovaa tu!!!!!!!!
 
Asante kwa mchango wako.Sikukuu njema
 
Wanawake Waliosoma Sana Hawajui Upendo Wala Maisha Ya Ndoa Yakoje Muda Wote Wanajiona Wako Sawa Ndani Ya Nyumba Hivyo Kunakuwa Heshimaless

Kaka Jipu umekosea bhana si wote
 
Back
Top Bottom