Wana Jamvi,
Habari za jioni !
Tumemjua Askari Polisi aliyefyatua risasi kwa lengo la kumuua Sheikh Ponda anaitwa Inspector Benedict George, Mkurya wa kituo cha Morogoro mjini
Lengo la kumleta hapa jamvini ni nduguze kumsihi asijiingize kwenye matatizo ambayo hataweza kuyakabili
Ipo misitu mingi sana ambako Watanzania wanauwawa na Polisi hawaendi na wanabaki kukimbizana na CHADEMA na Waislamu hasa Masheikh huku mjini kutawafikisha kubayaa
He has been warned!

huo ni udini na uchonganishi unaweka jina la uongo la kikristo ili utuchonganishe na wakirsto! ptuuuuuuu
Mleta mada hanatatizo yeye kafikisha ujumbe.
huo ni udini na uchonganishi
unaweka jina la uongo la kikristo ili utuchonganishe na wakirsto!
ptuuuuuuu
Ndugu zanguni kazi kubwa ya dini yoyote duniani ni kuhubiri amani na upendo,,
ukiona kiongozi yoyote wa dini anahubiri chuki,uchochezi,huyu anamaslahi mengine na wala
siyo wa kuunga mkono, ,,wakati mwenyezi mungu anaumba dunia ,alikuwa akitumia maneno
kwa kusema kuwepo mchana na usiku, maji ya hame pawe nchi kavu na ikawa,,,utaona maneno
yalivyo na nguvu,kiongozi wa dini anaposema tumechoka kuongozwa na makafiri,,sasa hizi kauli gani??ni nani
anaweza sema yeye ni bora mbele za mungu??kusema ati polisi wanavamia wananchi wa mtwara kwa kuwa ni waislamu,,hayo ni mawazo gani??lazima kiongozi wa dini aongee maneno ya busara kuwaunganisha watu,,sasa nashangaa baadhi ya watu kushabikia maujinga ujinga,
Huo pia ni uongo umeweka kuwa huyu askari ni Mkurya. Hivi kwa akili yako ndogo unafahamu utaratibu na utendaji kazi wa police? Kweli unaamini Ispekta anaweza kutumia silaha kwa operation kama hii. Unataka kuleta uchonganishi kati ya dini na pia ukabila.Tuliza upumbavu wako.
huo ni udini na uchonganishi unaweka jina la uongo la kikristo ili utuchonganishe na wakirsto! ptuuuuuuu