Mkwawa mnyalukoro
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 239
- 169
Chuo bata, narudia tena chuo bataaaaa.Dah sikutegemea yaan kile ninachokiona hapa Iringa university mpaka nataman kulia Ki ukweli masomo magumu jaman bora advance yaan mfano philosophy unaisoma haieleweka dah advance ni bats kuliko university aisee.
Hujakaaa vizuri umeingia anga za DR NYAMUBI aisee utataman kuacha chuo
Sent using Jamii Forums mobile app
chuo bata mkuu tatizo kichwa chako tu ndo kibovu
ndo maana ni vyema ukianza chuo jaribu kuonja pombe sio kwa ubaya lakini unabost tu kichwa kiroba au nenda disco ukachangamshe ubongo ili uondoe huo u advance ulionao kichwani
teh teh Nina miakili mingi Mimi
PCM shule za serikali miaka ya 2000 unasema ilikuwa afadhari ww VP chuo mbona afadhari snaChuo bata, narudia tena chuo bataaaaa.
Advance weka mbali na watoto labda kama ulosoma H kunani ndio rahisi huko advance ila kombi zingine acha kabisaaa. Chuo nilipata kitambi cha kuzugia inamaana life simple kiasi kwa kozi nyingi.
Sasa wewe hiyo Philosophy yako somo la arts nalo unalia lia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app