Aliyepoteza bedsheet watafute hao

Bailly5

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
16,553
Reaction score
35,424
watafute hao
 

Attachments

  • 1438370286396.jpg
    33.7 KB · Views: 1,054
size ya kiuno ipo mguuni

Noma kaka, miaka hiyo nasoma sekondari tunashona suruali za shule, kwenye turn up unamwambia fundi aweje 24" au 28 wakati mguu wako kama pampu ya baskeli. Mambo ya ujana bana ndo kama walivyofanya hao jamaa.
 
Na hapo ndugu zao wanawalaumu et kwanini wameshonesha suruali modo halafu wamepga mlegezooo!!!
 
Hivi miondoko yao ilikuwaje?
 
Noma kaka, miaka hiyo nasoma sekondari tunashona suruali za shule, kwenye turn up unamwambia fundi aweje 24" au 28 wakati mguu wako kama pampu ya baskeli. Mambo ya ujana bana ndo kama walivyofanya hao jamaa.

hahahahahaa mguu unakuwa kama umechomekwa kwenye suruali. sasa bado zile pensi nyanya. nakumbuka o-level zile suruali sio mchezo ni pana
 
Hivi miondoko yao ilikuwaje?

hao walikuwa wanazoa vumbi tu kwa suruali za mtindo huo. kiatu chenyewe hakionekani kimefunikwa na upana wa suruali
 
Hivi miondoko yao ilikuwaje?


Wala sitaki kukusimulia sana bibie.

Enzi hizo nusu ya hiyo miguu tulivaa raizoni (raise-on).

Tulikuwa na swaga ile mbaya. We wacha tu.

Mabebi walidondoka tulipokuwa tukipita.

Masikini, mtuone sasa tu tulivyo.
 
hiki kizazi nadhani kimeshatoweka duniani
 
Wala sitaki kukusimulia sana bibie.

Enzi hizo nusu ya hiyo miguu tulivaa raizoni (raise-on).

Tulikuwa na swaga ile mbaya. We wacha tu.

Mabebi walidondoka tulipokuwa tukipita.

Masikini, mtuone sasa tu tulivyo.
Hahahaaaaa, you made my day mkuu...
Asante sana.
 
Ha ha ha! Siku hizi model ndo kila kitu ... Sio marais, wasanii, wacheza filamu, wanasoka, maaskari, maofisini, wanafunzi nk wote wanapiga model tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…