Aliyeniombea Matatizo Yanamrudia

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Oct 17, 2013
936
1,000
Wakuu Nilikwenda Sehemu Flan Kurekebisha Mambo Yetu Ya Jadi. Adui Yangu Yanamrudia Yale Yale Kapasuliwa Mdomo Na Mwiko Umevimba Kama Nundu.Yani Mule Mule Alimotaka Yanitokee Yanamrudia Yeye Kachakaa Kabisa Nimeamini Makorokoro Ya [HASHTAG]#mshanajr[/HASHTAG] Ya Kweli.
 
UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Oct 17, 2013
936
1,000
[HASHTAG]#skyeclat[/HASHTAG] Niliyumbishwa Na Mchawi Flani Lkn Cha Ajabu Kachakaa Sana Namsubiria At The Right Place Nimalize Yangu Alivunja Furaha Yangu Na Mipango Yangu Waiting...For [HASHTAG]#revenge[/HASHTAG]
 
Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,679
2,000
Acha mara moja hiyo biashara ya kwenda kwa waganga wa jadi. Utaishia Jehanam ndugu yangu kwa ajili ya mambo ya Dunia yanayopita.
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,600
2,000
Wakuu Nilikwenda Sehemu Flan Kurekebisha Mambo Yetu Ya Jadi. Adui Yangu Yanamrudia Yale Yale Kapasuliwa Mdomo Na Mwiko Umevimba Kama Nundu.Yani Mule Mule Alimotaka Yanitokee Yanamrudia Yeye Kachakaa Kabisa Nimeamini Makorokoro Ya [HASHTAG]#mshanajr[/HASHTAG] Ya Kweli.
Hayo majaribio mngekuwa mnayaelekeza kwa yule jamaa mwenye komwe kubwa ili inapotokea kuwa kweli basi taifa lipate faida ya jumla si rejareja.
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
21,906
2,000
Wakuu Nilikwenda Sehemu Flan Kurekebisha Mambo Yetu Ya Jadi. Adui Yangu Yanamrudia Yale Yale Kapasuliwa Mdomo Na Mwiko Umevimba Kama Nundu.Yani Mule Mule Alimotaka Yanitokee Yanamrudia Yeye Kachakaa Kabisa Nimeamini Makorokoro Ya [HASHTAG]#mshanajr[/HASHTAG] Ya Kweli.
Ndiyo jana ulienda Mombo kwa ajili hii? Hebu loga warudishe bunge live
 
MO11

JF-Expert Member
Mar 23, 2014
17,802
2,000
umefanya jambo jema sana
ukimuona nyoka usipomuua atakuua wewe

usisikilize ya wajf
 
serengo

JF-Expert Member
Jul 30, 2013
471
500
Uko vizuri, MTU akikufanyia mabaya naye inapaswa alipwe kwa ubaya hakuna kusubili, huyo mtaalam yuko vizuri tupeane ramani mkuu wapi yupo huyo mtaalam?

Wakuu Nilikwenda Sehemu Flan Kurekebisha Mambo Yetu Ya Jadi. Adui Yangu Yanamrudia Yale Yale Kapasuliwa Mdomo Na Mwiko Umevimba Kama Nundu.Yani Mule Mule Alimotaka Yanitokee Yanamrudia Yeye Kachakaa Kabisa Nimeamini Makorokoro Ya [HASHTAG]#mshanajr[/HASHTAG] Ya Kweli.
 
serengo

JF-Expert Member
Jul 30, 2013
471
500
Ukiwa mshika dini Mungu anakulinda hayo hayakupati. Faraja yangu ni kumshukuru Mungu kwa kila linalinitokea.
Dini ni ulevi mbaya sana , ww endelea kushika hizo dini maana ni moja ya sababu zinazotufanya tuwe watumwa hadi Leo ni hizo dini.
 
serengo

JF-Expert Member
Jul 30, 2013
471
500
Acha mara moja hiyo biashara ya kwenda kwa waganga wa jadi. Utaishia Jehanam ndugu yangu kwa ajili ya mambo ya Dunia yanayopita.

Unauhakika gani kama jehanamu IPO ? Hayo ni mambo ya kufikirika tu hakuna aliye na uhakika kuwa kuna bingu na jehanamu, wazungu walitumia mbinu mbadala ili watutawale kimawazo zaidi, tutabaki watumwa siku zote kuanzia kidini hadi maisha.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom