Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,079
- 4,893
No doubt..hilo jambazi ndio muhusika no 1 kwa maagizo ya yule Kichaa aliyetuambia Diallo.Bashite ni mhusika mkuu
KabisaNo doubt..hilo jambazi ndio muhusika no 1 kwa maagizo ya yule Kichaa aliyetuambia Diallo.
Itakuwa labda kwa mahaba yako unalazimisha kuhamishia attention kwa Lissu. Mada hapa ni MO.Swali la nyongeza; Hivi walio mshambulia huyu mwamba Tundu Lissu kwa mvua ya risasi, tena mchana kweupe kule Dodoma! ni akina nani? Maana tokea 2017 mpaka leo, polisi na Serikali ya ccm wanatoa majibu mepesi mepesi tu!
hajipendi - au anataka aiongoze simba behind bars !!Huyo Mo anasemaje kwani?
Mahaba ya nini tena! Na wakati hilo ni swali tu nyongeza!! Matukio yote yanafanana! Wahusika mpaka leo hawajulikani!!Itakuwa labda kwa mahaba yako unalazimisha kuhamishia attention kwa Lissu. Mada hapa ni MO.
kibinadamu ningekuwa mo ningempa japo kamtaji hyu dereva kimya kimya..Wadau mtakumbukwa MO Dewji mfanyabiashara mkubwa nchini alitekwa tarehe 11 Oktoba 2018 na kupatikana tarehe 20 Oktoba 2018
Baada ya kupatika Polisi walidai wamemkamta dereva taxi kuwa ndiye aliyemteka mo dewji
Kesi hiyo haijawahi kusikilizwa mahakama zaidi ya kuiahirisha tu.
Juzi Mahakama ya Kisutu imemwachia huru mtuhumiwa huyo na kuacha maswali mengi kama
1. Kwanini polisi walisema dereva taxi ndio alimteka mo?
2. Kama mtekaji sio huyo dereva taxi kwanini alishtakiwa?
3. Nani alimteka mo?
4. Au mo dewji hakutekwa?
View attachment 1870261
hivi huwa najiuliza sana mnapataje tabu kujiuliza maswali mengi wakati aliyetekwa yupo yeye hataki kusema, yeye ndiyo anajuwa kila kitu alyofanyiwa huko na alichoambiwa mpaka akaachiwa nyie mnaumiza vichwa bure mo anajuwa kama alitekwa au vipiWadau mtakumbukwa MO Dewji mfanyabiashara mkubwa nchini alitekwa tarehe 11 Oktoba 2018 na kupatikana tarehe 20 Oktoba 2018
Baada ya kupatika Polisi walidai wamemkamta dereva taxi kuwa ndiye aliyemteka mo dewji
Kesi hiyo haijawahi kusikilizwa mahakama zaidi ya kuiahirisha tu.
Juzi Mahakama ya Kisutu imemwachia huru mtuhumiwa huyo na kuacha maswali mengi kama
1. Kwanini polisi walisema dereva taxi ndio alimteka mo?
2. Kama mtekaji sio huyo dereva taxi kwanini alishtakiwa?
3. Nani alimteka mo?
4. Au mo dewji hakutekwa?
View attachment 1870261
Nyongeza gani hiyo kama nazi kwenye supu bwana?! Kwahiyo kila unsolved crime ikiungwa hapo itakuwa sawa!Mahaba ya nini tena! Na wakati hilo ni swali tu nyongeza!! Matukio yote yanafanana! Wahusika mpaka leo hawajulikani!!
Jitahidi basi wakati mwingine uwe unafikiri zaidi (yaani uwe una 'Think Big') kwa afya ya ubongo wako.
Wadau mtakumbukwa MO Dewji mfanyabiashara mkubwa nchini alitekwa tarehe 11 Oktoba 2018 na kupatikana tarehe 20 Oktoba 2018