Aliyempigisha ‘deki’ Mwalimu aigomea CWT

Awamu hii walimu wanadharaulika sana

OVA
 
Kwa ushauri huo sijui hata kama unakijua unachokiongea, uongozi unakitu kinaitwa "chain of command" unakathimisha... unadhani kwa tendo hilo huyo mwalimu atavumilia tena ujinga kwenye maswala ya usafi?! ...team ikiboronga anawajibishwa kocha
 
Kishaona dalili ya kutumbuliwa huyoooo,anajifanya naye mungu mtu.Daaaahhh hua naskiaga vibaya mno kuona mwalimu akionewa au kudhalilishwa,tunajisahau sana wakati hao ndo walez na wasimamiz wa taaluma zetu
nikweli broo, anatakiwa kutumbuliwa huyu
 
Hivi huyo ni mwalimu kwa taaluma au jina lake ilo... Haiwezekani kabisa
 
Mimi nitakufa na umasikini wangu! Sikubali hata kidogo uonevu kama huu! Nisingefagia wala kudeki! Anipeleke popote!
 
Mkuu wa mkoa nae afike katika jengo la halmashauri, akikuta mahali pachafu, amdekishe mbele ya watumishi wengine, hakuna namna.Ni mwendo wa kiki magazetini.
 
Tunaweza kuwa na free sinkers
 
Mbona kawaida sana, angewekwa lokapu sibora kudeki kuliko kulala ndani?, watanzania bana mambo mengine tunayakuza kweli, ni adhabu kama adhabu zingine jamani.
Mfyiiiiuuuu! We jirani yako au mwenyekiti wako wa mtaa akija kukuchapa fimbo za matako mbele ya watoto wako vipi? Huu ni udharirishaji kama udharirishaji mwingine. Tuache kutetea kwa masrahi binafsi. What goes on comes around!
 

Mkuu;
Ningemshauri yule mama maridadi jina lake Angel, aende mwenyewe kuhakiki vyeti vya huyu mwalimu na ikiwezekana ayataje majina ya watu 3 alosoma nao darasa la kwanza na jina la mwalim wake aliye muandikisha darasa hilo na mahali alipo.
Nasikia kabisaaaa harufu ya vyeti fake vya huyu bwana. Si bure, alikubali kudeki ili waondoke wakimcheka kumbe ni woga kuwa amekuja tumbuliwa.
 
CWT acheni ubabaishaji na kutuhadaa..

Mkurugenzi amefanya kazi yake kwa nia njema ya kuwarekebisha walimu ******..

Hamtamuweza Mkurugenzi... Ni boss wenu

Kilaza km wewe ungekua karibu apa nakulamba makofi na kelebu 2 za hatari! Puss wewe
 
Huyu mkurugenzi hana maadili ya kazi. Hizi amri za maji taka ndo zinawafanya wake zetu na wadogo zetu wa kike kupata majanga ya kutembea na bossi kisa kuogopa! Huyo mwalimu angemgomea wala asingemfanya lolote
 
Mbona kawaida sana, angewekwa lokapu sibora kudeki kuliko kulala ndani?, watanzania bana mambo mengine tunayakuza kweli, ni adhabu kama adhabu zingine jamani.
IPO KWENYE PROFESSION CODE OF CONTRACT YA UALIMU?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…