Enny JF-Expert Member May 26, 2009 962 130 Nov 18, 2010 #1 Hivi kesi ya yule jamaa aliyemkumbatia kaka mchezaji wa brazil uwanjani iliishia vipi?
hashycool JF-Expert Member Oct 2, 2010 6,555 2,833 Nov 18, 2010 #2 Enny said: Hivi kesi ya yule jamaa aliyemkumbatia kaka mchezaji wa brazil uwanjani iliishia vipi? Click to expand... aliambiwa awe ana report kituo cha polisi kila wiki! nadhani watakuwa wamempotezea.....
Enny said: Hivi kesi ya yule jamaa aliyemkumbatia kaka mchezaji wa brazil uwanjani iliishia vipi? Click to expand... aliambiwa awe ana report kituo cha polisi kila wiki! nadhani watakuwa wamempotezea.....
KakaJambazi JF-Expert Member Jun 5, 2009 18,755 12,141 Nov 18, 2010 #3 Jana pia kati ya Brazil vs Angetina shabiki aliingia uwanjani.