Aliyemdhalilisha Mama Lowassa akimbia nchi

Status
Not open for further replies.
huyo kijana hana heshima wala adabu. Nashangaa vijana waliokuwepo hawakumshughulikia kwa kumpa ngeu juu ya turu. Huyo ni sawa na mama yake. Huyo mama ana wajukuu.. Senzi zake

tatizo la uhuru
 
😂😂😂😂😂 alitaka kumnyoso nn??nasikia huyo mkaka ni mchungaji. Haikuwa tako mbona ni kama paja
 
Huyo kijana hana heshima wala adabu. Nashangaa vijana waliokuwepo hawakumshughulikia kwa kumpa ngeu juu ya turu. Huyo ni sawa na mama yake. Huyo mama ana wajukuu.. Senzi zake

Alimfanya nini?!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…