Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza auwawa na wananchi wenye hasira kali kwa kupigwa mawe

kwa kuwa mbowe yuko mwanza atakuwa amehusika... lumumba mko wapi kudhihilisha hili?
 
Kwa tulipofika na kufikishwa nafikiri hii si watu wameua bali wamejitetea kama unavyoua mwizi aliyekuvamia kwako,safi sana wananchi make hawa makaburu walijua familia zao hazitapigwa waliposema tupigwe ...to every force there is an equal opposite reaction

Ubabe wa CCM umekuponza R.I.P
 
Kwa mujibu wa kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza; M/Kiti ameuwawa KISESA na si KiSEKE na taarifa za kiintelijensia hajawaambia sababu ya mauaji (Source: ITV Breaking nyuz)
 
poleni sana wananchi wa Kiseke kwa usumbufu mlioupata hadi kufanikiwa kumtowa roho kiumbe Msumbufu.

Ila muwe wavumilivu kwa mtakaoupata kutoka kwa police hii nchi ndivyo ilivyo

mkuu ni KISESA sio KISESE unajua haya majina yanafanana kidogo eeeh!
 
Safi sana. Nimefurahi mno baaada ya kuthibitishiwa hii taarifa kuwa ni kweli kuwa huyu bwana kauwawa na wenye nchi akiwa katika harakati za kupora haki za wangonye.

Hii ni njia pekee ya kimatendo ya kuonesha watawala kuwa ukandamizaji na uporaji wa mali za wanyonge hautapita tu tukiangalia. Siku tukichoka wote hatutakuwa na pa kukimbilia.

Asante sana wenye nchi mliotekeleza na kumpatia haki yake mkoloni Mabina.

Apumzike kwenye moto unaowaka sana kuliko jehanam
 
Classic,Kama ni kweli nawapa hongera. Wanasemaga utatufanya nini sisi ndio serikali, waiamuru serikali imrudishie uhai wake.
 
Mabina huyu ni miongoni mwa watu ambao wamejijengea umaarufu mkubwa sana katika mikoa ya kanda ya ziwa hususani ndani ya ziwa victoria

Huyu ni miongoni mwa watu ambao walikuwa wakituhumiwa na ujambazi wa kutumia silaha hasa katika miaka ya 90!

Ni miongoni mwa watu ambao wanadaiwa kuuwa wavuvi ndani ya ziwa victoria na kuwapora fedha na mali zao nyingine!

Ni miongoni mwa watu wanaodaiwa kufanya mauaji ndani ya ziwa yeye na wenzake kadhaa akiwemo dc na diwani mmoja!

Historia yake hapa mwanza haina tofauti na yule mmiliki wa mabasi au yule mmiliki wa COCACOLA.
Jamaa walikuwa majambazi haswa halafu wake za watu walikuwa hawaponi.

Ni kweli mkuu,huyo jamaa unaemsema pia wamefanya ujanja na kujipatia eneo moja la nyumba kutoka Nyanza,ni kama wamepora pale mwanza Opposite na JB BELMONTE?
 
Back
Top Bottom