Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza auwawa na wananchi wenye hasira kali kwa kupigwa mawe

na hao mafisadi tunataka waone kwamba hata sisi wananchi tukiamua twaweza, nadhani hatahawa mafisadi tukiua mmoja mgawanyo ma maliasili zetu utakuwa equal kiasi, maana wanaua tembo, madini, misitu na gesi washafanya shamba la bibi zao.w
nahasira nao sana.R.I.P KADA FISADI.

Nguvu ya umma ni kubwa mno...magamba tuna yahesabiya siku
 
Nasikitika sana kwa lililotokea, lakini ndiyo kauli mbiu ya CCM na serikali yao ya wakorofi "wapigwe" tu! Marehemu alijaribu kuiweka into practice na wananchi wakamjibu hivyo hivyo!
Laiti nguvu iliyotumika hapo ingetumika kumpunguza angalau mmoja kati ya wahujumu wa masikini tembo wetu ambao kila kukicha zinakamatwa meli zilizosheheni meno ya tembo toka kwa wakubwa wa CCM!
 
Jana nilipata fursa ya kufuatilia historia yake tangu enzi hajajiunga na chama. Ukweli ni kwamba hata kwa ss wana CCM huenda hatukumjua vzr! jamaa ameenzi maandiko ya Bible kuwa ukiua kwa upanga nawe utakufa kwa mawe. Alikuwa namba tasa.
 
Nilipoiona hii nilidhani ni huyu wa sasa Dialo. Maana huko tunakoelekea haya yanaweza kujitokeza sana maana wananchi wamechoka.


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Back
Top Bottom