GE2025 Aliyekuwa mtangazaji wa The Mboni Show, Mboni Masimba naye achukua fomu kuwania Ubunge Viti Maalum Handeni Mjini

GE2025 Aliyekuwa mtangazaji wa The Mboni Show, Mboni Masimba naye achukua fomu kuwania Ubunge Viti Maalum Handeni Mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
889
Reaction score
2,863
Wakuu,

Yaani CCM ukiwa unapumua tu basi hiyo ni qualification tosha ya kuchukua fomu.

Mjasiriamali na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mboni Masimba amechukua fomu ya kuomba ridhaa kuwania ubunge wa Viti Maalumu kupitia Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) Mkoa wa Tanga.

mboni.png
 
Kigezo kikuu cha teuzi CCM uwe unajua kumsifia Mama.. Kwanin watu wasichukue fomu kwa wingi..
 
Back
Top Bottom