macho_mdiliko
JF-Expert Member
- Mar 10, 2008
- 22,198
- 40,486
Even if you don't have a brain you would see what i mean!Kama hauna jibu bora ukae kimya.
Even if you don't have a brain you would see what i mean!Kama hauna jibu bora ukae kimya.
Even if you don't have a brain you would see what i mean!
Tamaa ya kuwa na Mali nyingi tena bila uhalali wowote ndio shida. Vijana wana Tamaa sanaKweli moyo ni mdanganyifu kuliko vyote, tena una ugonjwa wa kufisha. Mtu unalamba mshahara halali wa zaidi ya 20m kwa mwezi lkn bado haiutoshi!
Mimi nikipata mshahara wa usd 5,000/ = kwa mwezi sina sababu ya kufanya ufisadi.
Vv
afu sijui angetimka familia yake angeichaje huku.Atimkie wapi Mkuu?
Hii misalaba mingine inabidi tuu mtu ubebe unaokuhusu. Hakuna namna.
Usd 5000 bado kubwa, mimi kwa usd 500 naokoka kabisa naanza kuimba na mapambio.Kweli moyo ni mdanganyifu kuliko vyote, tena una ugonjwa wa kufisha. Mtu unalamba mshahara halali wa zaidi ya 20m kwa mwezi lkn bado haiutoshi!
Mimi nikipata mshahara wa usd 5,000/ = kwa mwezi sina sababu ya kufanya ufisadi.
Vv
Law of Karma... yeye kajifanya mjanja na kiherehere kumvunjia Mbowe bila hata notice, sasa leo yamemrudi.... na serikali walivo watafya watampa shitaka la kutakatisha fedha akanyee ndoo kwanza.. Aisee hapa duniani mtu usiwe na kiherehere ingawa bado ntazidi kumkubali huyu jamaa ila kwa issue ya kamanda Mbowe nilimchukia sanaSafi sana afungwe jela. Huyo huyo aliyemtuma kubomoa billicanas Leo kamgeuka.
Unataka aandike utakvyo wewe!Umeharibu hapo kwenye mytake
Umeweka Kimytake cha kijinga sana ! Ungeweza kuweka uzi wako bila uzushi wowote na bado ungelipwa tu .Mara baada ya kusimamishwa kazi Jana, Nehemia Mchechu kakamatwa na TAKUKURU kwa mahojiano zaidi.
Taarifa zinasema Junanne atapandishwa mahakamini kwa makosa kadhaa yakiwemo uhujumu uchumi, uchepushaji na matumizi mabaya ya madaraka
Mytake:
Kwa kweli Rais Magufuli Mungu azidi kukubariki sana sana. Unafanya kazi iliyotukuta hasa kwa wanyonge. Mungu akubariki sana Rais Magufuli
Hili ndio tatizo kubwa tulilonalo watanzania wengi. Nashangaa mpaka watu wenye ufahamu wa kutumia computer tunashindwa kuona correlation kati ya ufisadi na umaskini wa nchi! You must be joking dude kuuliza kukamatwa kwa mtuhumiwa wa ufisadi kunasaidia vipi maskini!
Siwezi kumuunga mkono rais wa visasi, anayekumbatia mabashite, anayevunja nyumba za wanyonge, anyesigina demokrasia, ameweka kapuni katiba mpya, anayefurahia watu wake kula msoto, asiyetaka wengine waombewe, asiyehudhuria misiba, anayekula rambirambi, anayesema wazi hakuna kuchagua wapinzani kama vile siasa imekuwa uadui, anayezalisha wake za watu, anayehubiri amani wakati kaficha panga mgongoni. Anayetafuta kiki kwa vitu ambavyo ni vya kawaida, nini Msechu, tuliona akina Mramba wakiingia jela. Anayetufanya kwa kutudanganya dollar bilioni moja zimekamatwa, kama vile dollar hizo ni hela ya kukaa kwenye handbag, asiyetimiza ahadi zake, wapi millioni 50 kwa kila kijiji. NIKISEMA NTAMWOMBEA NTAKUWA MNAFIKI KAMA YEYE, AKINILAZIMISHA KUMWOMBEA NTAOMBA KINYUME
Rambi rambi za tetemeko ziko wapi ?Unataka aandike utakvyo wewe!
Anaona huo uhusiano na anaujua lakini amejisikia tu kufunika macho na kutembea bila mavazi barabarani.Hili ndio tatizo kubwa tulilonalo watanzania wengi. Nashangaa mpaka watu wenye ufahamu wa kutumia computer tunashindwa kuona correlation kati ya ufisadi na umaskini wa nchi! You must be joking dude kuuliza kukamatwa kwa mtuhumiwa wa ufisadi kunasaidia vipi maskini!
Siwezi kumuunga mkono rais wa visasi, anayekumbatia mabashite, anayevunja nyumba za wanyonge, anyesigina demokrasia, ameweka kapuni katiba mpya, anayefurahia watu wake kula msoto, asiyetaka wengine waombewe, asiyehudhuria misiba, anayekula rambirambi, anayesema wazi hakuna kuchagua wapinzani kama vile siasa imekuwa uadui, anayezalisha wake za watu, anayehubiri amani wakati kaficha panga mgongoni. Anayetafuta kiki kwa vitu ambavyo ni vya kawaida, nini Msechu, tuliona akina Mramba wakiingia jela. Anayetufanya kwa kutudanganya dollar bilioni moja zimekamatwa, kama vile dollar hizo ni hela ya kukaa kwenye handbag, asiyetimiza ahadi zake, wapi millioni 50 kwa kila kijiji. NIKISEMA NTAMWOMBEA NTAKUWA MNAFIKI KAMA YEYE, AKINILAZIMISHA KUMWOMBEA NTAOMBA KINYUME
Kwenye uchumi kuna kitu tunakiita ''non-satiation" yaani kwa mfano wewe kama unaona hiyo $5000 au $500 kwako nyingi ukishaipata kuna kitu rohoni kitatokea automatically na kujikuta unatamani $10,000 na $1000 ndo ipo hivo yani, kwenye pesa na mafanikio hakuna hali ya kuridhikaUsd 5000 bado kubwa, mimi kwa usd 500 naokoka kabisa naanza kuimba na mapambio.