Aliyekuwa mgombea wa ubunge kupitia CHADEMA, Hamis Tabasamu ahama chama

Kwavile chadema ndio walisaini hiyo mikataba aondoke kabisa aende huko ccm waliokuwa wanapinga hiyo mikataba
Hahaha sindano kali. Kaona after all watuhumiwa wa ufisadi wote wapo chadema na wengine walikua mawazir wakuu wastaaf. Na ambao walikua wakisimamia shughuli za serikali zote kipindi hicho cha makinikia. Hahahah siasa hapa imeiva. Sijui chadema tutasemaje
 
Kwavile chadema ndio walisaini hiyo mikataba aondoke kabisa aende huko ccm waliokuwa wanapinga hiyo mikataba
Mkuu umesema cha maana sana, yaan eti anaenda kwa yule aliejitegea Bomu mlangoni mnamwambia anabisha kisha akalitegua basi wanajisifia
 
Kweli kabisa Hamisi ana ubongo kama wa kuku change ni wa Chadema? Karamagi ni wa Chadema? Aende tu
Hapana hao ni wa CCM, kawakimbia akina Wenje, Masha, Sumaye na mwingine nimemsahau ntarudi nikimbuka. Huyu ana akili timamu, ah BAVICHAA
 
DAAH NI PIGO HILI KWA CHAMA CHA CHADEMA....JE TUTARAJIE MENGINE ZAIDI??!!!
 
Kwakweli leo wameondoka wengi sana. Hapa jirani Ubungo kama 65 nliowaona leo...
 
Ningewaona chadema wana akili kama wasingewalaumu ccm ilihali hao viongoz wao na mgombea wao wengi wametoka ccm,na wanaonekana hawana hatia ila hatia ipo kwa wana ccm tu,,mbaya zaid wamejificha kwenye kivuli cha wanaccm ilihali wao wanawapokea walioshirikiana na wazungu kutuibia,,onyeshen mfano wa kuwafukuza huko kwanza
 
Aliekua mgombea ubunge wilayani sengerema kupitia chadema hamis Tabasamu ameamua kuondoka chadema kufuatia ripot ya pili ya mchanga anadai chadema wamekosa uzalendo kwa kupinga juhudi za Rais Magufuli
Juhudi za mwenyekiti wa ccm zinataka kuwaozesha ubongo watanzania.
Kabla hajawa mwenyekiti alikuwa anatupiga za mbavu kama kawa.
Anza na nyumba za serikali kutoka maamuzi mpaka utekelezaji magufail ndani ya baraza!!
Kivuko katupiga nakoz kisha kaisajili jeshiniiiii!!!
 
Aliekua mgombea ubunge wilayani sengerema kupitia chadema hamis Tabasamu ameamua kuondoka chadema kufuatia ripot ya pili ya mchanga anadai chadema wamekosa uzalendo kwa kupinga juhudi za Rais Magufuli
Source?
 
Ningewaona chadema wana akili kama wasingewalaumu ccm ilihali hao viongoz wao na mgombea wao wengi wametoka ccm,na wanaonekana hawana hatia ila hatia ipo kwa wana ccm tu,,mbaya zaid wamejificha kwenye kivuli cha wanaccm ilihali wao wanawapokea walioshirikiana na wazungu kutuibia,,onyeshen mfano wa kuwafukuza huko kwanza
Taja hatia ya chadema!!
Wabunge wa chadema wametoka bungeni mara kibao kupinga wizi wa wabunge wa/na ccm yao!!!
Au hukuwepo nchini?
Chadema haijawahi kuwa na mamlaka ya kupitisha sheria yoyote.

Mipasho ya kina Lusinde ndio muipakue muile kama migebuka!!!!!
 
Back
Top Bottom