Aliyekuwa mgombea wa ubunge kupitia CHADEMA, Hamis Tabasamu ahama chama

Kwavile chadema ndio walisaini hiyo mikataba aondoke kabisa aende huko ccm waliokuwa wanapinga hiyo mikataba
Hata kama cdm hawakusaini hivi unajua wakati karamaghi anasain hiyo mikataba lowasa alikuwa pembeni na alisafiri naye kwende landon na ndo alipeperusha bendera 2015. sasa lowasa sumaye ni akinanani kama sio cdm
 
Hahaha sindano kali. Kaona after all watuhumiwa wa ufisadi wote wapo chadema na wengine walikua mawazir wakuu wastaaf. Na ambao walikua wakisimamia shughuli za serikali zote kipindi hicho cha makinikia. Hahahah siasa hapa imeiva. Sijui chadema tutasemaje

kwa serikali hii makini wote wanakamatwa maana report imewataja majizi yote uyasemayo
 
Hata kama cdm hawakusaini hivi unajua wakati karamaghi anasain hiyo mikataba lowasa alikuwa pembeni na alisafiri naye kwende landon na ndo alipeperusha bendera 2015. sasa lowasa sumaye ni akinanani kama sio cdm
Ushahidi uliopo ni kua aliesaini ni Karamagi,
Sasa wewe weka ushahudu kua Lowasa alikua nae
 
Kwakweli leo wameondoka wengi sana. Hapa jirani Ubungo kama 65 nliowaona leo...

Wakague vichwa vyao unaweza kukuta vina matobo,mikataba yote ya Wizi wa Rasilimali zetu imeingiwa na ccm na serikali yake,sasa Chadema wanahusikaje?Kweli watanzania ni viumbe wa ajabu sana.
 
Taja hatia ya chadema!!
Wabunge wa chadema wametoka bungeni mara kibao kupinga wizi wa wabunge wa/na ccm yao!!!
Au hukuwepo nchini?
Chadema haijawahi kuwa na mamlaka ya kupitisha sheria yoyote.

Mipasho ya kina Lusinde ndio muipakue muile kama migebuka!!!!!
Hatia ya CHADEMA Ni moja tuu.Kukubali kumsimamisha Lowassa kama mgombea wake wa Uraisi huku akifadhiliwa na kina Karamagi
 
Aliekua mgombea ubunge wilayani sengerema kupitia chadema hamis Tabasamu ameamua kuondoka chadema kufuatia ripot ya pili ya mchanga anadai chadema wamekosa uzalendo kwa kupinga juhudi za Rais Magufuli
Amerudi ili achukue nafasi ya ubunge kwa ngeleja
 
Aliekua mgombea ubunge wilayani sengerema kupitia chadema hamis Tabasamu ameamua kuondoka chadema kufuatia ripot ya pili ya mchanga anadai chadema wamekosa uzalendo kwa kupinga juhudi za Rais Magufuli
Upuuzi wa watanzania na unafiki. Nimeamini kale ka msemo ka kizungu kanakosema "If you don't fight them, join them" kama huwezi kupambana nao ungana nao! Yaani amekosa busara japo nusu tuu ya kufikiria kwamba hao waliotengeneza huo uozo na kutuzalishia ma ripoti chungu nzima ndo anaenda kuungana nao! Whatz the shame to the man!
Yaani kwa sasa kila mtanzania anaongea kwa hisia na hasira huku tukimtukuza jpm kama shujaa wakati hayo ni majukumu yake kama rais kulinda mali asili za taifa. Tusimsifie sana akijiona yeye ndo mbeba maono na mtukufu, tunamlipa malupulupu na mshahara mnono atutumikie wananchi. Anayofanya ni wajibu na kazi yake maana anatumikia ujira tunaomlipa.
Huyo aliyehama chama anatakiwa achinguzwe uwezo wake wa kufikiri. Hapo sijaelewa anahama chama kumuunga mkono rais, je hawezi kumuunga mkono akiwa chadema?
 
Hatia ya CHADEMA Ni moja tuu.Kukubali kumsimamisha Lowassa kama mgombea wake wa Uraisi huku akifadhiliwa na kina Karamagi
Sauli aliwaua sana wakristo, lakini ndiye alikuja kuitangaza injili kwa kiwango kikubwa na cha kupigiwa mfano.
Magufuli hajatubu ni mdhambi na anatumia kafara za Dagoni kuupumbaza umma.
 
Aliekua mgombea ubunge wilayani sengerema kupitia chadema hamis Tabasamu ameamua kuondoka chadema kufuatia ripot ya pili ya mchanga anadai chadema wamekosa uzalendo kwa kupinga juhudi za Rais Magufuli
Arekebishe Dishi akili yake ikawe sawa.
Ripoti ya Rais inazungumzia Yale ambayo aliyaoinga akiwa bungeni yakisemwa na Tundu Lissu na Zitto Kabwe
 
Wapumbavu ni wapumbavu tu. Kwahiyo enyi wapumbavu bado mnajiona ni sehemu ya acacia pamoja na ccm ya magufuli kuwaumbua bdo mnaona ccm ndo wapumbavu wakati nyie wezi wa Mali yetu ndo wapumbavu. Mmeng'ang'ana ccm ccm ccm....Magufuli Siyo ccm?. Je Sumaye wa chadema si ndo alikuwa waziri mkuu mikataba hii ikisainiwa?
 
Aliekua mgombea ubunge wilayani sengerema kupitia chadema hamis Tabasamu ameamua kuondoka chadema kufuatia ripot ya pili ya mchanga anadai chadema wamekosa uzalendo kwa kupinga juhudi za Rais Magufuli
Bwege huyo,Chadema ndio walio saini mikataba sio,huyo amekwisha sasa anatafuta huruma tu.
 
Hahaha sindano kali. Kaona after all watuhumiwa wa ufisadi wote wapo chadema na wengine walikua mawazir wakuu wastaaf. Na ambao walikua wakisimamia shughuli za serikali zote kipindi hicho cha makinikia. Hahahah siasa hapa imeiva. Sijui chadema tutasemaje
Huna akili,hao mawaziri wakuu ndio walio saini hiyo mikataba
 
Sauli aliwaua sana wakristo, lakini ndiye alikuja kuitangaza injili kwa kiwango kikubwa na cha kupigiwa mfano.
Magufuli hajatubu ni mdhambi na anatumia kafara za Dagoni kuupumbaza umma.
Na nyie CHADEMA Mtubu dhambi ya kumsimamisha Lowassa kama Mgombea wenu wa Uraisi wa JMT
 
Back
Top Bottom