Aliyekuwa mgombea Udiwani kwa tiketi ya CCM 2010 Kata ya Nyamatare Serengeti, atimkia CHADEMA

DM 01

Member
Jul 12, 2015
45
8
Aliye kuwa Mgombe mwenye nguvu katika ngazi ya Udiwani uchaguzi wa 2010( CCM) katika Kata ya Nyamatare Wilayani Serengeti ameamua kuvua Gamba na kuvaa Gwanda na kuiacha ccm ikiwa kama yatima.

Kwa mujibu wa mgombea huyo sababu kubwa iliyo mfanya kuachana na ccm ni chama kukiuka maadili na miiko yake iliyowekwa na mwalimu.

Hatahivyo kada huyo ameingia na idadi kubwa ya wafuasi wake na kambi nzima na kuwaambia wana ccm kata ya Nyamatare wajiandae kuongozwa na CHADEMA.

Kemgesi,Nyamatare
 
Mgombe huyu alikua anasumbua sana uchaguzi wa 2010 alizidiwa kwa kura 67 na kamanda wa sasa David Maganya kwahiyo mwaka huu ni ushindi wa Kishindo
 
Aliye kuwa Mgombe mwenye nguvu katika ngazi ya Udiwani uchaguzi wa 2010( CCM) katika Kata ya Nyamatare Wilayani Serengeti ameamua kuvua Gamba na kuvaa Gwanda na kuiacha ccm ikiwa kama yatima.

Kwa mujibu wa mgombea huyo sababu kubwa iliyo mfanya kuachana na ccm ni chama kukiuka maadili na miiko yake iliyowekwa na mwalimu.

Hatahivyo kada huyo ameingia na idadi kubwa ya wafuasi wake na kambi nzima na kuwaambia wana ccm kata ya Nyamatare wajiandae kuongozwa na CHADEMA.

Kemgesi,Nyamatare
Kama alikuwa na nguvu mbona hakushinda?
 
Back
Top Bottom