Mtatiro tuambie na huyu umeshamfukuza siku nyingi. Cuf imeshakufa tungoje mazishi yake.
Nadhani ni wakati wa cuf kukubaliana na hali alisi na kujipanga upya vipi lipumba nae kaitelekeza?
CUF iko kwenye sanda...shimo la futi sita tayari limeshachimbwa bado kuzikwa tu...!Mtatiro tuambie na huyu umeshamfukuza siku nyingi. Cuf imeshakufa tungoje mazishi yake.
Baadaye ataishia kusema alishafukuza wote, kabaki yeye, lipumba, maalim, jusa ndo cuf full mkoko.
Au huenda nae keshajitoa kidizin. Mtatiro sijui atatuambia walishamfukuzaga kabla hajakwenda US! Sande Charles ana mambo!sijui profesa hajui kutumia mtandao sijawahi kuona maoni yake popote hata baruwa za kina mohamedi rashid hajajibu labda kajitoa kidizainnasikia yupo usa
Walikataa kujianika Arusha kwa sababu hiyo aibu ingekuwa ya mwaka kule..na sijui mtaji wao kwa tanzania bara wanautegemea lindi tuuu mfano ikiwa ya kuwa?? ila kweli Sasa nadhani baada ya Chadema, NCCR, TLP , CCM na KAFU ya mwisho... alafu niwajuze..neno KAFU kwa huku unguja ni KIFO..mkue kabisaa....Kwa mfano...Jamani musiki Mbowe Kafu.!! kwani ilikuwa jaje.. Ee bwana presha imchuku kabisa..kafu jana usiku...
dhambi ya kuwatenga wengine kwa dini zao , uzanzibara na uzanzibari wao ndiyo sasa inawagharimu cuf. sasa wameanza kutengana wenyewe wale wa rashid na wale wa maalim seif. Na dabo tutaona mengi mwaka huu.