Aliyekuwa Meya Arusha atimkia CHADEMA

Aliyekuwa Meya Arusha atimkia CHADEMA

mheshimiwa rais wa makamanda wa jamhuri ya watu wa Arusha..naomba usifanye kampeni Arusha Bali kaamshe walio lala kimabadiliko huko kwingine.Arachuga hakuna magamba wala upinzani tena.watu wamechoka na masisiemu.wamebaki makamanda tu.jamhuri ilishakombolewa hii.Asante.

Hahahah,hii kali sana,Raisi wa Arusha
 
si tuliambiwa kuwa arusha hakuna c.c.m... sasa huyo ametoka chama gani tena diwani?? tuongee na kuweka akiba ya maneno ndugu zangu
arusha hakuna ccm , huyo ni masalia , kama unabisha muulize msalani .
 
Ila umesahau kwamba mmesema hakuna atakayemfuata lowassa nahisi kesho baada ya kura za maoni wengi watatimukia upinzani ngoja tuone maana rafu ni nyingi mno
 
Back
Top Bottom