wagagagigikoko
Senior Member
- Dec 5, 2010
- 163
- 49
Aliyekuwa Meya wa jiji la Arusha Paul Laizer na diwani wa kata ya Baraa (CCM) hatimae ajiunga na CHADEMA pamoja na wenyeviti wote wa mitaa wa CCM.
Nimependa ulivyoenda kwa "facts"
si tuliambiwa kuwa arusha hakuna c.c.m... sasa huyo ametoka chama gani tena diwani?? tuongee na kuweka akiba ya maneno ndugu zangu
si tuliambiwa kuwa arusha hakuna c.c.m... sasa huyo ametoka chama gani tena diwani?? tuongee na kuweka akiba ya maneno ndugu zangu
Hahaha,mkuu watu kumbukumbu hawana za kutosha.
Mie mwenyewe nilivyoona kule kule kwenye ukoo sikushangaa saaana.
Wacha waende woote wavaa nusu hao hakuna shida
Jamani mbona nyie wachokozi hivi...?
huyu alikuwa meya wa zamani wa jiji la arusha ambaye ni diwani wa kata ya baraa,lota laiser ni kweli amehamia chadema kasoma upepo anataka kuendelea na kata hana namna chadema kaona ndiyo kimbilio pekee hongera sana lota